Katibu wa CCM Kata ya Mwaruguru auwawa kwa kuchinjwa kama kuku

Peter Dafi

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
372
250
TULIKOFIKIA WATANZANIA NIKUBAYA SANA.

Nalaani Kwa Nguvu Zote Kwa Wanasiasa wanaofanya unyama wa Namna hii.
Siasa za Tanzania Zimekuwa Siasa za Ajabu sana sana kwani Mauwaji, Villema, Wanaongezeka Kisa tu Uroho wa Madaraka.
Timama hii....
Huu ni mwili wa Katibu wa ccm kata ya mwaruguru aliyechinjwa Jana usiku
Maeneo ya Kagongwa Kahama Shinyanga.

Tumefikia Hatua yakuuwana Kisa Vyeo vya Serikali za Mitaa !!?
Kweli Mtanzania Unaejitambua Ulieshida Imani ya Dini Na Hofu ya Mungu unamuuwa Mwenzio Kisa Cheo cha Kisiasa?

Nimeumizwa sana Na Kitendo hiki cha Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Kuuwawa Kinyama Kwa Kuchinjwa kama Kuku kisha Kutelekezwa.

Hakika Duniani Tunapita tu !
Hukumu iko Kwa Mungu wale wote watendao Madhambi haya kisa Madaraka Mungu atalipa Kwa Imani yetu tunaoamini.
But Seikali Na Jeshi LA Police Tunaliomba Lifanye kazi yake Kwa Ufasaha kabisa likishirikiana Na Raia wema kuwafichua watu Hawa waovu, Mimi Naamini Watendaji wa Matukio haya tunaishi nao Mitaani ivo tunauwezo mkubwa wakuwasemea ktk Vyombo Vya Usalama Wawajibishwe.

Samahani Kwa Picha hii najua sio Ethical Kwa Haki za Kibinadamu pia Media Ethics haziruhusu imenilazimu Kufanya Kwa Maumivu ninayoyapata hapa.

RIP Ndugu yetu Kamanda Na Kada wa Chama Cha Mapinduzi.
Naamini umekufa kishujaa kite tea Chama chako Na Haki yako yakimsingi Umechinjwa Na uniform ya Chama Cha Mapinduzi .
Hakika Umekifia Chama.
Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi Amen......!!
 
Freeland

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
14,492
2,000
una ushahidi gan ameuawa kwa sababu ya siasa? common sense inasema kuna jambo lingine zito sio siasa.pole kwa familia ya marehemu
 
MO11

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
17,450
2,000
una ushahidi kauliwa kwa ajili ya siasa maana ccm ni mafisadi inawezekana kamdhulumu mtu jamaa kalipiza kisasi
ila huko tunapokwenda ni kuzuri tu maana ccm wanatuibia na kutuua
 
mukandarasi

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
927
500
TULIKOFIKIA WATANZANIA NIKUBAYA SANA.

Nalaani Kwa Nguvu Zote Kwa Wanasiasa wanaofanya unyama wa Namna hii.
Siasa za Tanzania Zimekuwa Siasa za Ajabu sana sana kwani Mauwaji, Villema, Wanaongezeka Kisa tu Uroho wa Madaraka.
Timama hii....
Huu ni mwili wa Katibu wa ccm kata ya mwaruguru aliyechinjwa Jana usiku
Maeneo ya Kagongwa Kahama Shinyanga.

Tumefikia Hatua yakuuwana Kisa Vyeo vya Serikali za Mitaa !!?
Kweli Mtanzania Unaejitambua Ulieshida Imani ya Dini Na Hofu ya Mungu unamuuwa Mwenzio Kisa Cheo cha Kisiasa?

Nimeumizwa sana Na Kitendo hiki cha Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Kuuwawa Kinyama Kwa Kuchinjwa kama Kuku kisha Kutelekezwa.

Hakika Duniani Tunapita tu !
Hukumu iko Kwa Mungu wale wote watendao Madhambi haya kisa Madaraka Mungu atalipa Kwa Imani yetu tunaoamini.
But Seikali Na Jeshi LA Police Tunaliomba Lifanye kazi yake Kwa Ufasaha kabisa likishirikiana Na Raia wema kuwafichua watu Hawa waovu, Mimi Naamini Watendaji wa Matukio haya tunaishi nao Mitaani ivo tunauwezo mkubwa wakuwasemea ktk Vyombo Vya Usalama Wawajibishwe.

Samahani Kwa Picha hii najua sio Ethical Kwa Haki za Kibinadamu pia Media Ethics haziruhusu imenilazimu Kufanya Kwa Maumivu ninayoyapata hapa.

RIP Ndugu yetu Kamanda Na Kada wa Chama Cha Mapinduzi.
Naamini umekufa kishujaa kite tea Chama chako Na Haki yako yakimsingi Umechinjwa Na uniform ya Chama Cha Mapinduzi .
Hakika Umekifia Chama.
Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi Amen......!!
Mbona unashangaza! Umeumia kwasababu ni katibu wa CCM au kwa unyama uliofanyika?? R.I.P Gamba.
 
mangola

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
681
195
tulikofikia watanzania nikubaya sana.

Nalaani kwa nguvu zote kwa wanasiasa wanaofanya unyama wa namna hii.
Siasa za tanzania zimekuwa siasa za ajabu sana sana kwani mauwaji, villema, wanaongezeka kisa tu uroho wa madaraka.
Timama hii....
Huu ni mwili wa katibu wa ccm kata ya mwaruguru aliyechinjwa jana usiku
maeneo ya kagongwa kahama shinyanga.

Tumefikia hatua yakuuwana kisa vyeo vya serikali za mitaa !!?
Kweli mtanzania unaejitambua ulieshida imani ya dini na hofu ya mungu unamuuwa mwenzio kisa cheo cha kisiasa?

Nimeumizwa sana na kitendo hiki cha katibu wa chama cha mapinduzi kuuwawa kinyama kwa kuchinjwa kama kuku kisha kutelekezwa.

Hakika duniani tunapita tu !
Hukumu iko kwa mungu wale wote watendao madhambi haya kisa madaraka mungu atalipa kwa imani yetu tunaoamini.
But seikali na jeshi la police tunaliomba lifanye kazi yake kwa ufasaha kabisa likishirikiana na raia wema kuwafichua watu hawa waovu, mimi naamini watendaji wa matukio haya tunaishi nao mitaani ivo tunauwezo mkubwa wakuwasemea ktk vyombo vya usalama wawajibishwe.

Samahani kwa picha hii najua sio ethical kwa haki za kibinadamu pia media ethics haziruhusu imenilazimu kufanya kwa maumivu ninayoyapata hapa.

Rip ndugu yetu kamanda na kada wa chama cha mapinduzi.
Naamini umekufa kishujaa kite tea chama chako na haki yako yakimsingi umechinjwa na uniform ya chama cha mapinduzi .
Hakika umekifia chama.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi amen......!!
this is not accepted anywhere in this world.
 
SUNGURA-MJANJA

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
200
0
Kwani ccm nao wanajiita MAKAMANDA? watz tuendako ni kuzuri sana tena bado..ubabe wa ccm umefanya watz tufike hapo its good. halafu mleta uzi huu kwa sababu 1 au nyingine unahusika na mauaji haya coz ulijuaje kama kauliwa kwa mambo ya kisiasa? we ndo muuaji namba 1.
 
majorbuyoya

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
1,830
1,225
..........CCM mtamalizana hivi hivi lol!!. Washaanza kuwauwa na makatibu, mi nilidhania wanawauwa wale ambao wapo katika position ambazo wanazuia kuchota hela au kupoteza ushahidi baada ya kuchota hela kama walivyofanya kwa Dr. Mgimwa na Balali.

Muda si mrefu watahamia kwa wale wanaojitia vimbele mbele kama akina MSALANI, FaizaFoxy, Ritz, Simiyu Yenu, Lizaboni na wengineo.

R.I.P Gamba!!
 
Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
8,966
2,000
Usisahau diwani wa Kata ya Bugarama Kahama kabla ya wilaya mpya ya Msalala alivyouawa kama huyo unayemsema kisa kamshinda kura za maoni diwani aliyekuwepo wote chama kimoja.
 
Bwiru boy

Member
Nov 29, 2014
88
95
Poleni sana wana-CCM wote, ndugu, jamaa na marafiki wa merehemu kwa kuondokewa na mpendwa wenu.

Nitoe tu mtazamo wangu kwenye matukio kama haya yanayowahusisha viongozi wa kidini na kisiasa. Mara nyingi ikitokea kiongozi wa chama cha siasa au kiongozi wa kidini kaumizwa au kauawa watu wanachukulia tu moja kwa moja kwamba ni kwa sababu ya tofauti za kidini au kisiasa. Sidhani kama hii ni sahii kwa kila tukio kama hilo linapotokea, wakati mwingine mtu anaweza kuuawa au kujeruhiwa tu kama binadamu yeyote yule bila kuhusisha itikadi yake ya kisiasa au ya kidini. Tukumbuke kwamba ukiwa kiongozi wa kidini au kisiasa, bado wewe ni sehemu ya jamii, hivyo unaweza kufanyiwa ukatili kama huo pengine kutokana na aidha migooro tu kijamii, visasi vya kijamii au siku hiyo hawa waganga njaa wenzetu wanaotaka mali za wenzao kwa nguvu wameona tu kwamba riziki yao itapatikana kwako na kwa kupoteza uhai wao.

Nitoe wito kwa vyombo vya usalama vinavyohusika kufanya uchunguzi wa kina wa matukio kama haya kwa kuangalia uwezekano sababu zozote zinazopelekea mtu huyo kuuawa. Na wewe ndugu yangu peter Dafi ni vema kama una taarifa zozote kuhusiana na tukio hili ni vizuri uvisaidie vyombo vya usalama taarifa zozote ulizonazo kama kweli ni tofauti za kisiasa. Mimi binafsi siamini katika siasa za kuuana au kutoana roho kwa sababu tu tunatofautiana mitazamo, naamini zaidi katika siasa za kushindana kwa hoja tu.
 
Jagarld

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
1,993
2,000
Kama kweli kauwawa Mungu ampumzishe mahala pema. Lakini kuna kitu kimoja tunakosea sana,wanasiasa ni binadamu wanaoishi kwenye jamii hii hii hivo tusiwe wepesi sana kushikana ubaya wa kisiasa kwenye matukio kama haya kisa kauliwa akiwa na uniform za chama pasipo uchunguzi wa kina kuwa umefanyika. Sidhani kama siasa imefikia hatua kama hiyo ya kuchinjana na kama kweli ndo ilikofika Mungu atusamehe.
 
Peter Dafi

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
372
250
Natamani Kuiweka Picha ya Mwili wa Katibu AlieChinjwa APA lakini Naona Sio Sahihi.
Amechinjwa akiwa Kavalia Shati LA CCM akiwa Kazini kukijenga Chama.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom