Katibu wa CCM Kata Ya Bungu, Kibiti auawa kwa kupigwa risasi

Kibiti. Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Bungu wilayani hapa, Alife Mtulia ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga amesema mauaji hayo yamefanyika usiku wa kuamkia leo (Jumapili) katika Kijiji cha Nyambunda.

Amesema Mtulia aliuawa na watu hao alipokuwa anakwenda kuoga.

Kamanda amesema mwili wa marehemu umepelekwa kituo cha afya cha Kibiti kwa uchunguzi.

Mauaji ya askari Polisi, viongozi wa Serikali za Mitaa na raia yamekuwa yakifanyika mara kwa mara katika wilaya za Kibiti, Rufiji na Mkuranga mkoani Pwani.

Jumanne wiki hii akiwasilisha bungeni bajeti ya wizara yake, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba aliliambia Bunge kuwa Serikali itaanzisha mkoa mpya wa kipolisi katika wilaya za Kibiti, Rufiji, Mkuranga na Mafia. Utaitwa mkoa wa kipolisi Rufiji.
Source:Mwananchi
My take: Nchi yetu inaishi na magaidi wazawa hasa hasa wananchi waliochoshwa na uongozi wa Serikali ya Tz chini ya CCM. Kanda maalumu inatakiwa kuanzishwa kwa mstakabali wa uhai wa wanachama wa CCM mkoani PWANI.
 
Hili suala linahitaji Akili ndogo tu kuelewa.

1: maeneo haya wanategemea mkaa kama chanzo chao cha mapato...na namna ya kuendesha familia.

2: mkaa ukapigwa marufuku...na serikali ya ccm

3: Viongozi wa ccm wakashindwa kuwa upande wa wananchi...wakatetea uchama

4: wananchi wakapatwa na hasira..wakaanza kuwaua

5: polisi wakaenda kutumia mabavu...piga, mwisho wa bodaboda saa 12, kulala mapema (kukosa hekima)

6: Hasira zikaamia kwa polisi

hitimisho: As long as polisi wataendelea kutumia mabavu na ubabe hakuna watakachoweza kufanya , hili suala linahitaji hekima...linahitaji kushirikisha wananchi, sasa ni raia gani utamfuata umuulize kitu akwambie...ilihali majuzi tu..mwanae alitoka kuvunjwa mguu?

Zaidi sana ...hawa majambazi wataonekana mashujaa..na watakua wanalindwa na raia. polisi wetu wawe wanatumia akili zaidi na busara katika kutatua mambo.
 
Kuna jambo linaendelea huku,police wetu mjipange vyema haiwezekani viongozi wa vyama wanakufa tu haiwezekani aise
 
Hili suala linahitaji Akili ndogo tu kuelewa.

1: maeneo haya wanategemea mkaa kama chanzo chao cha mapato...na namna ya kuendesha familia.

2: mkaa ukapigwa marufuku...na serikali ya ccm

3: Viongozi wa ccm wakashindwa kuwa upande wa wananchi...wakatetea uchama

4: wananchi wakapatwa na hasira..wakaanza kuwaua

5: polisi wakaenda kutumia mabavu...piga, mwisho wa bodaboda saa 12, kulala mapema (kukosa hekima)

6: Hasira zikaamia kwa polisi

hitimisho: As long as polisi wataendelea kutumia mabavu na ubabe hakuna watakachoweza kufanya , hili suala linahitaji hekima...linahitaji kushirikisha wananchi, sasa ni raia gani utamfuata umuulize kitu akwambie...ilihali majuzi tu..mwanae alitoka kuvunjwa mguu?

Zaidi sana ...hawa majambazi wataonekana mashujaa..na watakua wanalindwa na raia. polisi wetu wawe wanatumia akili zaidi na busara katika kutatua mambo.
mkuu raia wa kawaida anaweza kuvamia polis na kuiba bunduki? siamini km raia wa kawaida anaweza kutumia AK47....hapo pwani kuna watu wamepitia mafunzo somalia na hizo tetesi zipo toka 2011...hizo nyingine ni sababu tu..ila Pwani kuna ugaidi sio kwamba wakataa mkaa wamekasirika wasingeweza kuwa na mbinu za kijeshi na kusumbua miaka yote hii
 
Kibiti. Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Bungu wilayani hapa, Alife Mtulia ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga amesema mauaji hayo yamefanyika usiku wa kuamkia leo (Jumapili) katika Kijiji cha Nyambunda.

Amesema Mtulia aliuawa na watu hao alipokuwa anakwenda kuoga.

Kamanda amesema mwili wa marehemu umepelekwa kituo cha afya cha Kibiti kwa uchunguzi.

Mauaji ya askari Polisi, viongozi wa Serikali za Mitaa na raia yamekuwa yakifanyika mara kwa mara katika wilaya za Kibiti, Rufiji na Mkuranga mkoani Pwani.

Jumanne wiki hii akiwasilisha bungeni bajeti ya wizara yake, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba aliliambia Bunge kuwa Serikali itaanzisha mkoa mpya wa kipolisi katika wilaya za Kibiti, Rufiji, Mkuranga na Mafia. Utaitwa mkoa wa kipolisi Rufiji.
 
Kitengo cha usalama kimezidiwa yaan kila siku huko mauaji yanazidi kuongezeka
 
Well said
Hili suala linahitaji Akili ndogo tu kuelewa.

1: maeneo haya wanategemea mkaa kama chanzo chao cha mapato...na namna ya kuendesha familia.

2: mkaa ukapigwa marufuku...na serikali ya ccm

3: Viongozi wa ccm wakashindwa kuwa upande wa wananchi...wakatetea uchama

4: wananchi wakapatwa na hasira..wakaanza kuwaua

5: polisi wakaenda kutumia mabavu...piga, mwisho wa bodaboda saa 12, kulala mapema (kukosa hekima)

6: Hasira zikaamia kwa polisi

hitimisho: As long as polisi wataendelea kutumia mabavu na ubabe hakuna watakachoweza kufanya , hili suala linahitaji hekima...linahitaji kushirikisha wananchi, sasa ni raia gani utamfuata umuulize kitu akwambie...ilihali majuzi tu..mwanae alitoka kuvunjwa mguu?

Zaidi sana ...hawa majambazi wataonekana mashujaa..na watakua wanalindwa na raia. polisi wetu wawe wanatumia akili zaidi na busara katika kutatua mambo.
 
Mwigulu anapaswa kukaa kando kabla hali haijawa mbaya.Hatuhitaji waziri muoga wa mafisadi na wauza unga kisa tu anaogopa ataharibiwa njia yake ya kwenda ikulu 2025.
Mwigulu hajatoa tamko lolote la kisiasa zaidi ya kumuona akiongea kinafiki siku alipokwenda walipouawa askari
 
Back
Top Bottom