Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 12,435
- 19,452
Hujawahi kuona wala kusikia Power Struggle..., Mshindi huwa hajulikani mpaka hio struggle iishe..., utashangaa hapo makundi yatakayojitokeza na yakisha-smell weakness na sentiments za watu mtaani ndio utaelewa kwamba Nothing is....., until it is.....Nafikiri wewe sio mtanzania au ni mgeni Tanzania!
Unaisema Tanzania gani mahakama ipige danadana kesi iliyo na maslahi kwa Rais?
Soma katiba ya Tanzania Rais ni ni nani alafu urudi hapa
Ila sababu najua Tanzania na hawa mafahari wanajua kinachoweza kutokea usitegemee kuna atakayediriki kumsukuma mwenzake (labda Speaker aamue kuondoka )