Katibu tff

mi nimeona kwenye michuzi kule..sikuwa na haja ya kusoma maana eti Jimmy Kabwe kawa afisa masoko sijui...aaaaghhh nikaona kichefuchefu tu
 
Dah nimetoka kwa michuzi uko Angetile naona ameula!
 
Angetile ni nani? naomba wasifu wake

Angetile Osiah, msanifu kurasa mkuu wa gazeti la mwananchi kwa hivi sasa. kabla hajajiunga hapo amefanya kazi kama mwandishi na mhariri wa habari za michezo kwa miaka mingi kuanzia IPP kabla hajaingia mwananchi
 
Back
Top Bottom