Katibu Tawala: Damu ya tumbili itumike na kwa binadamu

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Katibu Tawala wa Wilaya ya Monduli Ndg Robert Siyantemi ameshauri tafiti zilizofanywa kuhusu binadamu ziangalie uwezekano wa kutumia damu ya tumbili, nyani, sokwe na wanyama wengine ili iweze kusaidia changamoto za uhaba wa damu kwa binadamu.

Alitoa ushauri huo mbele ya Mkuu wa mkoa wa Arusha ndg Mrisho Gambo.

Source: MWANANCHI

Ushauri damu ya wanyama itumike kwa binaadamu
 
Ikiwa hiyo damu itafaa, hao wanyama watakamatwaje ili tutumie damu yao? Huoni kama kutakuwa na hatari ya wanyama hao kutoweka?

Vv
Kunaweza kutengeneza kituo cha wanyama wakawa wana zalishwa kwa wingi, pia siyo kwamba wanakufa hapana wanatolewa damu. Over
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom