Katibu mwenezi kufumaniwa na mke wa mtu inatufundisha nini??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,039
katibu mwenezi wa ccm kufumaniwa igunga inatufundisha nini sisi wanaharakati tunaoomba kila siku tulinde
ndoa zetu..nimewiwa kuwajumuisha tukio hili tupate maoni yenu na kuanza kuyanyambulisha
katika muhtasari wetu wa kila mwezi ...kwa kifupi msiojua katibu mwenezi wa ccm alifumaniwa
na mke wa mtu aitwae bi fatma na baada ya hapo mumewe akampiga sana sana aitwa rajabu na tunavyoongea
polisi wanamtafuta rajabu na habari zaidi zinasema katibu huyu amewaagiza polisi kumkamata na kumuweka ndani
mpaka mwisho wa siku ya uchaguzi
 
Sawa.. akae ndani hadi uchaguzi uishe.. ila akitoka mkewe mjamzito!! sijui atarudishwa ndani tena hadi mama ajifungue?!! sijui
 
Hilo ninalijiuliza mpaka basi na je kuna haja ya kuruhusu wake zetu kuingia kwenye siasa maana ukisoma agzeti amepewa lakimbili tuuuuuu na tshirt zza ccm na kofia akampelekee mumewe na kosa hili limechangia baadhi ya wafanyabiashara waliokaa kikao wakiongozwa na xrais mkapa kwa ajili ya kuchangia ccm wamekataa na kusema awatoi tena hela zao kama
viongozi wa juu wameanza kutembelea wake zao zaidi soma tanzania daima

kweli lakimbiliiiiiiiii wewee fatmaaaaaaaa lohhhhhhhhhhhhh
 
Huyu ni ktk waliofumaniwa ambao bado wako wengi sana
 
inatufundisha kuwa nyumba ndogo hazichagui kama ni kiongozi au lah!!
 
Hapaana alipatia m\kumwatanga mwanamke unajua wanaume wengi awajui kwa nini wanaadhibiwa wake zao na hii ni kutokana na wakati shetan alipokuja pale eden alimuwahimwanamke kwanza yaani eva eva akamdanganya adam na baadae wakawa uchi lakini ukisoma kitabu cha mwanzo mpka ufunuo akuna sehemu adam aliomba msamaha kwa mungu na hii ndio moja ya pigo kwamb mwanamke ataendelea kumdanganya mupeeeeeenziiiiiiii mpka mumeo atakapoomba radhi kwa dhambi ya adamu m baada ya kuoa nilifunga siku tatu kuomba mungu anisamehe kwa niaaba ya adam yasije nikuta mwaya kazi kwako
 
wanilazie mabomba yao kwenye mtaro wangu halafu niwekwe ndani kwa kulifunga koki lisilete maji. sawa sawa manifesto ya CCM
 
Back
Top Bottom