Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,906
- 22,050
katibu mwenezi wa ccm kufumaniwa igunga inatufundisha nini sisi wanaharakati tunaoomba kila siku tulinde
ndoa zetu..nimewiwa kuwajumuisha tukio hili tupate maoni yenu na kuanza kuyanyambulisha
katika muhtasari wetu wa kila mwezi ...kwa kifupi msiojua katibu mwenezi wa ccm alifumaniwa
na mke wa mtu aitwae bi fatma na baada ya hapo mumewe akampiga sana sana aitwa rajabu na tunavyoongea
polisi wanamtafuta rajabu na habari zaidi zinasema katibu huyu amewaagiza polisi kumkamata na kumuweka ndani
mpaka mwisho wa siku ya uchaguzi