Katibu mwenezi CCM Wilaya ya Nyasa ahamia CHADEMA, amesema CCM wezi

nkanga chief

JF-Expert Member
May 31, 2016
2,084
1,620
Katibu Mwenezi wilaya ya Nyasa ahamia chadema amesema CCM ni chama cha wezi na wala rushwa achukizwa na kitendo cha viongozi wa Serikali kununua madiwani. Adai pesa wanazonunua madiwani wangenunua madawa hospitali yakasaidia wananchi.

Pia amesema pesa hizo zingesaidia wanafunzi elimu ya juu kuwapatia mikopo. Asema CCM haina tija kwa wananchi. Amesema CHADEMA ndio chama pekee chenye kuleta ukombozi kwa taifa, saa ya ukombozi ndio sasa.
 
Na yeye tunasubiri record yake inayoonesha amenunuliwa kutoka kwa polepole
 
Katibu mwenezi wilaya ya nyasa ahamia chadema amesema ccm ni chama cha wezi na wala rushwa achukizwa na kitendo cha viongozi wa serikali kununua madiwani adai pesa wanazonunua madiwani wangenunua madawa hospitali yakasaidia wananchi pia amesema pesa hizo zingesaidia wanafunzi elimu ya juu kuwapatia mikopo asema ccm haina tija kwa wananchi amesema chadema ndoo chama pekee chenye kuleta ukombozi kwa taifa amesema saa ya ukombozi ndoo sasa
Hovyooooooo!
 
Anaweza hama tu, haitaji kujitangaza kwani walihama wengi wenye majina na Nchi haikusimama.... Inazidi kusonga mbele.
 
Katibu mwenezi wilaya ya nyasa ahamia chadema amesema ccm ni chama cha wezi na wala rushwa achukizwa na kitendo cha viongozi wa serikali kununua madiwani adai pesa wanazonunua madiwani wangenunua madawa hospitali yakasaidia wananchi pia amesema pesa hizo zingesaidia wanafunzi elimu ya juu kuwapatia mikopo asema ccm haina tija kwa wananchi amesema chadema ndoo chama pekee chenye kuleta ukombozi kwa taifa amesema saa ya ukombozi ndoo sasa
Kwani uchaguzi ngazi ya wilaya umefanyika lini?!! Mbona majina ya wagombea uenyekiti ndio tumetangaziwa juzi na Polepole sasa huyo mwenezi kapatikana vipi?....... Nauliza tu!
 
Katibu mwenezi wilaya ya nyasa ahamia chadema amesema ccm ni chama cha wezi na wala rushwa achukizwa na kitendo cha viongozi wa serikali kununua madiwani adai pesa wanazonunua madiwani wangenunua madawa hospitali yakasaidia wananchi pia amesema pesa hizo zingesaidia wanafunzi elimu ya juu kuwapatia mikopo asema ccm haina tija kwa wananchi amesema chadema ndoo chama pekee chenye kuleta ukombozi kwa taifa amesema saa ya ukombozi ndoo sasa
Hata pesa za uchaguzi wa marudio zingetumika kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu
 
Back
Top Bottom