Askari Muoga JF-Expert Member Oct 22, 2015 6,113 4,655 May 28, 2017 #1 To be honest H Polepole anapwaya katika nafasi hii ni bora angepewa Ole Sendeka au Bulembo
KILWA KWETU JF-Expert Member Apr 15, 2017 249 137 May 28, 2017 #3 Tuwache kukizungumzia chama cha hovyo hovyo mie natamani kufa nikisikia ccm
M Mkwaruu JF-Expert Member Mar 13, 2017 2,929 1,707 May 28, 2017 #4 Kwa hali halisi za Siasa za ushindani ccm hakuna mtu kusimamia chama
Odhiambo cairo JF-Expert Member Jul 11, 2015 15,989 22,073 May 28, 2017 #7 Woote hao ni Bashite bin zero
Aniko JF-Expert Member Jan 3, 2016 1,766 960 May 28, 2017 #9 Laana ya Nape inaendelea kuwatafuna hao.