Katibu Mwenezi CCM atuhumiwa kumbaka binti yatima………..!!!!!!!!!!!!!!

Ukweli ni kuwa wabakaji wengi tu huachiwa huru,hii inaumiza sana,hakutakiwa kuwa nje ya gereza sasa...pengine ashamwambukiza magonjwa,au mimba,kisaikolojia ndo kabisa kashamuharibu mtoto wa watu....sheria ina wenyewe inaowalenga, ila mbele za haki kwa Mungu kila mtu atapokea sawasawa na matendo yake. Imeniuma sana!
Nabii Mwingira wa Efatha alimubaka Bertha Mke wa Wakili Mbuya nyumbani kwake wakati anamuombea mapepo!
 
Back
Top Bottom