TANZIA Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Lebejo Mngereza afariki dunia

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Katibu Mtendaji BASATA bwana Godfrey Mungereza amefariki dunia leo.

Katibu mkuu Wizara ya Habari, Tamaduni na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amethibisha habari hii.

Amefariki Dodoma alipokuwa anapatiwa matibabu.

Pia taarifa zimethibitishwa na watu wake wa karibu.

Bado sababu za kifo chake hakijulikani.

Taarifa zaidi zitawajia.

RIP

1608846379387.png

Godfrey Mungereza enzi za uhai wake
 
Dah poleni kwa tasnia ya sanaa, jamaa alijitahidi sana kuizungumzia sanaa kwa upana wake, Mungu amempenda zaidi.
 
TANZIA:
KATIBU MTENDAJI WA BASATA GODFREY MUNGEREZA AFARIKI DUNIA .
Taarifa za
Kifo chake zimethibitishwa na watu wa karibu na familia yake, lakini chanzo cha umauti hakijawekwa wazi
20201225_000930.jpg
 
Pole kwa familia na walioguswa msiba huo
Hatuchelewi kuambiwa na watu humu kuwa second wave inaendelea wakati hata familia haijatoa taarifa ya kisababishi Cha kifo chake.
 
Pole kwa familia na walioguswa msiba huo
Hatuchelewi kuambiwa na watu humu kuwa second wave inaendelea wakati hata familia haijatoa taarifa ya kisababishi Cha kifo chake.
Haihitaji Akili Kubwa sana kujua kuwa ukiambiwa Mtu Mkubwa kama huyu Kifo chake hakijulikani basi kuna walakini mahala na Katangulizwa pia.
 
Back
Top Bottom