Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Echililo,
Kangi Lugola atakuwa alikwenda na usafiri wa ofisi, je baada ya speech ya kiongozi atarudishwa na usafiri huo au protokali zinasemaje kama mtu akitumbuliwa akiwa jukwaani?
 
Wazee wa Budapest wale wanaoifahamu au kuisoma vizuri Romania kuna kitu watakielewa kwanini Romania.
 
Huyo lugola kwa jinsi alivyokuwa anawanyanyasa Polisi Haki ya Mungu hata akiwa barabarani na gari lake watamuuliza helmet iko wapi na kama hana na lockup watamuweka,cheo dhamana ya muda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alijisahau sana. Akasahau kuwa Augustine Mrema aliwahi kuwa waziri wa wizara hiyohiyo, kibao kilipogeuka askari wale wale wakawa wanampiga mabomu kila kukicha. Angemuuliza hata Lau Masha ampe uzoefu jinsi polisi walivyomgeuka baada ya madaraka kuyeyuka, walimpiga 'tanganyika jeki' kama kibaka.

Kazi ya kuwafokea polisi na kuvua vyeo vyao angemwachia IGP, hao wanaheshimiana wao kwa wao.
 
Huyu Lugola kuna kila dalili alitaka kutupiga sio bure, inaonekana kuna kifungu kwenye ile ilani ya chama chetu cha wanyonge inaruhusu hayo aliyotaka kufanya au tayari amefanya, Dr Bashiru na Polepole inabidi wamhoji vizuri.
 
Back
Top Bottom