Katibu mkuu wizara ya habari asema anasubiri maelekezo kufungulia magazeti

Atasubirije Kama hajamuelewa boss wake amuulize amueleweshe kwani hawana ofisi email za kuwasiliana Ili kutoa majibu sahihi kuliko kusema anakaa tu akisubiri kupelekewa kazi za kufanya yeye Hana dira wala hajui boss wake anataka nini kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom