Katibu mkuu wizara ya ardhi ahukumiwa!

Mtumishi Mkuu

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
259
92
Katibu mkuu wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Patrick Rutabanzibwa amehukumiwa kwenda jela kwa muda wa miezi 6 au kulipa faini ya sh 500,000 kwa kosa la kudharau amri ya mahakama!

Source: Michuzi Blog.
My take: Huyu bwana anafahamika kwa historia yake, what is laki tano kwake? Hizi sheria zetu kweli zinakidhi haja. Is it worth to what he has actually done?
 
Kapoteza kazi hata akilipa faini, kwa nafasi yake haitakiwi ishikwe na mtu aliyethibitika kwa kosa lolote na kuhukumiwa. Tuone watakavyo li-handle hili
 
  • Thanks
Reactions: bht
Mtumishi, ni amri gani hiyo ndugu KATIBU MKUU aliidharau?
 
Kapoteza kazi hata akilipa faini, kwa nafasi yake haitakiwi ishikwe na mtu aliyethibitika kwa kosa lolote na kuhukumiwa. Tuone watakavyo li-handle hili

Ezan silioni hili likitokea japo ndivyo inavyopaswa kuwa kama sheria inavyoainisha. Lakini hiii nchi si kuna watu wapo juu ya sheria?
 
hyo si dhihaka tu jamaani yaaani untaka kunambia atashindwa lipa laki 5 tu..................huh
 
Mtumishi, ni amri gani hiyo ndugu KATIBU MKUU aliidharau?
<br />
<br />
Inasemekana wamevunja sheria ya mahakama kwa kukaidi kutekeleza amri waliyopewa ya kusaini hati za viwanja kutokana na muafaka uliofikiwa na kampuni ya oysterbay properties LTD, Kahama Mining corporation LTD na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Pmaoja nae wameshtakiwa Kaimu kamishna wa ardhi pamoja na Mkurugenzi Mipango Miji.
 
Back
Top Bottom