Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Mchembe: Tusichelewe kwenda katika Vituo vya Afya kupata matibabu

Lugha ya kiungwana ni mhimili katika uzalendo. Huwezi kuambiwa hii ni Corona wakati mtu ana matatizo ya figo, high pertension, athma, sickle cell, upungufu wa damu mwilini, HIV n.k ambayo pia yanaleteleza shida hiyo.

Ila vile hatufiki hospital kwa wakati hayo nayo yanakua chronic na matokeo yake hali ikishakua tete ndo tunajitokeza kuokoa maisha wakati tuko kwenye koma...ni mbaya.

Tusienezeane taharuki mpaka watu wanaacha kuhudhuria klinik zao za kila siku kwa uoga. Nawasihi tuendelee kufuata maelekezo ya wizara na wataalamu wetu wa afya
High pertension na athma ndio vitu gani hivyo mbona kusoma kwangu sijawahi kuviona??
 
"Nitoe wito kwa wananchi pale inapotokea matatizo ya kuumwa ni vizuri kwenda katika vituo vya kutolea huduma za afya na kuonwa kuliko kusema kwamba unajitibia nyumbani jambo ambalo ni hatari kwa afya yako, hospitali zimejengwa kwa ajili ya kutoa huduma." amesema Prof. Mchembe.
Anapingana na kiongozi wa juu.
 
Back
Top Bottom