rifwima
JF-Expert Member
- Apr 21, 2010
- 507
- 212
Mipaka ipi ya uhuru inayokiukwa au kuvunjwa kwa watu kuhudhuria kwenda kusikiliza kesi ambayo inaendeshwa kwenye mahakama ya wazi?Uhuru na mipaka yake, kama hutaki kuelewa hilo njia pekee ni kukueleza kama pia hutaki kuelewa utapigwa tuuu , hakuna kubembelezana kama tunatoa posa
Yaani wewe umejazwa ujinga tu na unachokijua ni kutumia maguvu tu badala ya akili.
Pole sana!