Katibumkuu wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)Taifa Ndugu Sixtus Mapunda amepata makubwa wilayani Mbinga yaliyoachagumzo kubwa wilayani hapo. Mapunda ambaye alitoke wilaya ya Nyasaamepokelewa kwa kishindo kikubwa na viongozi wa CCM pamoja na mamiaya wananchi wa wilaya ya Mbinga ambako ndipo alikozaliwa.
Mapundaameingia Mbinga jana akitokea wilaya ya Nyasa ambapo ni muendelezo waziara yake ya siku tano (5) Mkoani Ruvuma. Ziara ambayo inalengakukagua na kuhamasisha ujenzi na uimara wa jumuiya mkoani humo pamojana kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha mapinduzi ya mwaka2010-2015.
Katika hotuba yakeKatibu Mkuu amewataka wananchi wa Mbinga kujitokeza kwa wingi nakuwachagua wagombea wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi katikauchaguzi wa Serikali za mitaa unaotegemewa kufanyika mapema mweziujao pamoja na uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwaka 2015.
Pia Katibu Mkuu,Mapunda amemtembelea Mzee Constantine O. Millinga mmoja wa waasisikumi na watano (15) walioanzisha Chama Cha Ukombozi cha TANUwakiongozwa na Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius KambarageNyerere, mnamo tarehe 7.7 1954. Mzee Millinga ni miongoni mwa wawilikati ya waasisi hao ambao wako hai mpaka hivi sasa.
Mapunda ametoa witokwaWatanzania, wananchama wa Chama Cha Mapinduzi na hasa Vijana waTaifa hili, kuwaenzi na kuwatembelea wazee ambao ni waasisi,wazalendo wa kweli na wapigania uhuru wa nchi hii, ambao wametuwekeamisingi ya Umoja na Utaifa ambayo imeifanya Tanzania kuwa nchi yaamani na utulivu.
Katibu Mkuu huyo waUVCCM anaendelea na ziara yake Mkoani Ruvuma ambapo atatembeleawilaya ya Namtumbo na baadae Songea Mjini ambako atahutubia mkutanomkubwa wa hadhara katika wilaya hiyo ambayo ni makao makuu ya Mkoa waRuvuma.