Katibu mkuu wa umoja wa Mataifa asema ilitakiwa Urusi kutumia mahakama za umoja wa mataifa sio kuvamia Ukraine

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,909
51,904
Katibu mkuu wa umoja wa Mataifa asema ilitakiwa Urusi kutumia mahakama za umoja wa mataifa sio kuvamia Ukraine

Asema charter ya Umoja wa mataifa inaeleza wazi kuwa migogoro kati ya nchi na nchi inatakiwa itatuliwaje sio kuvamia nchi nyingine

Source :Hotuba yake live akiwa Urusi
 
hahahaha...wameona mambo bado mabichi sana. NATO wanatakiwa kujua wanapambana na nchi yenye hatma ya kila nchi duniani. Tuache tu Urusi awe mpole hivihivi na tuache aendelee kulalamika bila kuchukua hatua zaidi.

Kila nikiiona SATAN 2 yenye uwezo wa kuisambaratisha nchi kama Uingereza nzima nabaki kujiuliza Urusi kaweka nini zaidi ukiachana na kuwa Nuclear , naweza isije kuwa imewekwa na laser weapon na biological weapons. Urusi anaposema maadui zake wafikirie mara mbili sio kwamba ana hofu ila anahofia sehemu itakapotumika hiyo silaha nini hatma ya watu wake
 
Ugonjwa wa mfadhaiko is real.
 
Mr Guterres said that while he understood Russia has "many grievances", there is "one thing that is true and obvious and that no arguments can change".

He continued: "We have no Ukrainian troops in the territory of the Russian Federation, but we have Russian troops in the territory of the Ukrainian Federation."
 
Hivi US alipozuiwa asiivamie Iraq alisikia eti?
Hakusikia na hicho hicho mrusi ndicho anafanya
Anachofanya mrusi ni illegal kwa Taratibu za Umoja wa mataifa sababu hakuna baraka ya UN

Katibu mkuu wa wakati ule alieleza wazi

"The secretary general, Kofi Annan, declared explicitly for the first time that the US-led war on Iraq was illegal.

Mr Annan said that the invasion was not sanctioned by the UN security council or in accordance with the UN's founding charter. In an interview with the BBC World Service broadcast last night, he was asked outright if the war was illegal. He replied: "Yes, if you wish."

He then added unequivocally: "I have indicated it was not in conformity with the UN charter. From our point of view and from the charter point of view it was illegal."

Mrusi anachofanya ni illegal
 
Hakusikia na hicho hicho mrusi ndicho anafanya
Anachofanya mrusi ni illegal kwa Taratibu za Umoja wa mataifa sababu hakuna barakoa ya UN

Katibu mkuu wa wakati ule alieleza wazi

"The secretary general, Kofi Annan, declared explicitly for the first time that the US-led war on Iraq was illegal.

Mr Annan said that the invasion was not sanctioned by the UN security council or in accordance with the UN's founding charter. In an interview with the BBC World Service broadcast last night, he was asked outright if the war was illegal. He replied: "Yes, if you wish."

He then added unequivocally: "I have indicated it was not in conformity with the UN charter. From our point of view and from the charter point of view it was illegal."

Mrusi anachofanya ni illegal
Hii ina maana kwamba UN imeshafail kama ilivyofail Legue of Nations. Hana meno ya kuchukua hatua. Angeichukulia hatia US kipindi hicho na zikafanya kazi na kuleta impact basi haya yasingekuwepo.
Hivyo hata hiyo hotuba yake haina mashiko maana ni sawa tu na hotuba ya Lipumba
 
Kifupi kwa kuwa Russia anapigana vita illegal na UN wameshindwa kumdhibiti Russia ndio.masna ana haki ya ku mobilize silaha na support kutoka nchi mbalimbali kuanzia Marekani,NATO nk kumsaidia kupigana na huyo huyo mvamizi

Iraq nayo ilitakiwa immobilize nchi mbalimbali wamsaidie silaha na fedha nk huo ulikuwa uzembe wake Iraq

Ukraine walivyoona wamevamiwa na mrusi ambaye UN imeshindwa kumdhibiti kakimbilia kutafuta support ya nchi zingine wamsaidie hiyo vita

Somo ukivamiwa na nchi ingine isiyojali cha UN Charter wala nini dawa ni wewe mvamiwa ku mobilize nchi zingine zikusaidie kutwangana na huyo mkorofi asiyesikia cha Umoja wa mataifa wala nini.Ndicho Raisi Zelensnkyy anafanya.Hicho ndicho hata Saddam Hussein alitakiwa kufanya.Kama Saddam hakufanya huo ujinga wake
 
Kifupi kwa kuwa Russia anapigana vita illegal na UN wameshindwa kumdhibiti Russia ndio.masna ana haki ya ku mobilize silaha na support kutoka nchi mbalimbali kuanzia Marekani,NATO nk kumsaidia kupigana huyo mvamizi

Hii inaapply tu kwa US na wake zake.
Ndio maana nasema dunia hii mnaishabikia US ni kama vile kuna watu are more humans than others.
Haya hatuyaona hata Libya.
Lakini ndio UN ishafail utaskia pia China imeivamia nchi nyingine na UN atakuwa hana la kufanya.
Malysia nimeona imesema kama Russia akitaka semiconductors itamuuzia tu. Biashara inaendelea kama kawa.
 
Kifupi kwa kuwa Russia anapigana vita illegal na UN wameshindwa kumdhibiti Russia ndio.masna ana haki ya ku mobilize silaha na support kutoka nchi mbalimbali kuanzia Marekani,NATO nk kumsaidia kupigana huyo mvamizi

Iraq nayo ilitakiwa immobilize nchi mbalimbali wamsaidie silaha na fedha nk huo ulikuwa uzembe wake Iraq

Ukraine walivyoona wamevamiwa na mrusi ambaye UN imeshindwa kumdhibiti kakimbilia kutafuta support ya nchi zingine wamsaidie hiyo vita

Somo ukivamiwa na nchi ingine isiyojali cha UN Charter wala nini dawa ni wewe mvamiwa ku mobilize nchi zingine zikusaidie kutwangana na huyo mkorofi asiyesikia cha Umoja wa mataifa wala nini.Ndicho Raisi Zelensnkyy anafanya.Hicho ndicho hata Saddam Hussein alitakiwa kufanya.Kama Saddam hakufanya huo ujinga wake
Kwa hio kosa ni la mvamiwa kutokutafuta support na sio mvamia alienda kinyume na sheria za UN?
Kweli shule mnaendaga kusomea ujinga nyie MATAGA.
 
Sasa kama mvamizi UN wameshindwa mfano kumdhibiti kama Urusi walivyoishindwa UN kwa hiyo ukae kimya tu akutwange? Utakuwa mjinga kama Saddam Hussein .Kichwani akili huna.
Ukraine kaona isiwe sababu kanivamia UN wamemshindwa natafuta support
 
Back
Top Bottom