Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,ANTONIO GUTERRES, ametaka Haki za Wahamiaji pamoja na Wakimbizi

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,834
upload_2018-1-13_11-35-55.png
 
Hahaha kwani hizo haki zinatolewa na nani, nani anazo na nani hanazo na anamuomba nani?!
Utoto huu. Jifunze kufuatilia mambo. Hivi kuitwa Africa countries kuwa ni shithole wewe unaona poa tu?
 
Dunia imeshashikwa pabaya na Mr. Trump a.k.a Trumpet.

Mr. Guterres, mwenyewe mshahara wake kama 35% unatoka USA...

Pogba wa USA kwa matamko yake ataua watu awamu hii.

Kazi bado pevu....
 
Utoto huu. Jifunze kufuatilia mambo. Hivi kuitwa Africa countries kuwa ni shithole wewe unaona poa tu?
Mbona hivyo tena kwani na wewe ni mkimbizi?! Kama ndivyo mimi sio mkimbizi ndio maana nikauliza, sasa huo u shit hole wa afrika unatoka wapi?! Isiwe tabu basi ombeni hizo haki kwa amani.
 
Mbona hivyo tena kwani na wewe ni mkimbizi?! Kama ndivyo mimi sio mkimbizi ndio maana nikauliza, sasa huo u shit hole wa afrika unatoka wapi?! Isiwe tabu basi ombeni hizo haki kwa amani.
Nadhani huelewi sorry!! Labda kwa kukusaidia tu Trump ameziita nchi za Africa ni shithole.Maana yake sisi Waafrica ni shitholes.
 
Nadhani huelewi sorry!! Labda kwa kukusaidia tu Trump ameziita nchi za Africa ni shithole.Maana yake sisi Waafrica ni shitholes.
Hahaha usipanic huo ni mtazamo wake. Nawe unaweza mrudishia hilohilo mkawa draw. Hawezi kukuomba msamaha na hatobadirisha kauli yake,sasa hiyo inakufanya uwe shithole?! Mpuuze au nawe mtukane muwe sawa. Trump mwehu unataka kukomaa naye. Mhmm haya kila la kheri
 
Utoto huu. Jifunze kufuatilia mambo. Hivi kuitwa Africa countries kuwa ni shithole wewe unaona poa tu?
Ni sahihi kabisa kutokana na aina ya utawala, demokrasia, uhuru wa mawazo, na haki za binadamu uliopo Afrika! Mengi yanayofanywa na watawala wa Afrika yanaifanya Afrika iwe hivyo; acheni kutetea uozo!
 
Hahaha usipanic huo ni mtazamo wake. Nawe unaweza mrudishia hilohilo mkawa draw. Hawezi kukuomba msamaha na hatobadirisha kauli yake,sasa hiyo inakufanya uwe shithole?! Mpuuze au nawe mtukane muwe sawa. Trump mwehu unataka kukomaa naye. Mhmm haya kila la kheri
Hahahaha aisee wewe mkuu majibu yako yananifanya nicheke sana!
 
Hahahaha aisee wewe mkuu majibu yako yananifanya nicheke sana!
Hahaha kibongo bongo mtu akikutukana na uwezo wa kumpiga huna unamfanyaje?!
Nawe unamtukana, unajisikia poa kisha una tambaa. Sasa Trump katukana bara zima unadhani tutamfanyaje?! Maneno ya Trump hayakufanyi wewe uwe shithole?! Mkapa alipokuwa balozi marekani aliwahi kusema wakenya wakisema mlima kilimanjaro huko kenya msilalamike nanyi waambieni uko Tanzania, kwani nyie hamna midomo?! Wakenya wakisema kilimanjaro iko Kenya inabadili nini?! Cha msingi nanyi waambieni wanaoambiwa hivyo ukweli basi. Lakini sisi hilo nalo tunataka serikali sijui ipigane au sijui ifanye nini.
Mpuuze Trump kisha tambaa endelea na issues zako.
 
Back
Top Bottom