Mbona hivyo tena kwani na wewe ni mkimbizi?! Kama ndivyo mimi sio mkimbizi ndio maana nikauliza, sasa huo u shit hole wa afrika unatoka wapi?! Isiwe tabu basi ombeni hizo haki kwa amani.Utoto huu. Jifunze kufuatilia mambo. Hivi kuitwa Africa countries kuwa ni shithole wewe unaona poa tu?
Nadhani huelewi sorry!! Labda kwa kukusaidia tu Trump ameziita nchi za Africa ni shithole.Maana yake sisi Waafrica ni shitholes.Mbona hivyo tena kwani na wewe ni mkimbizi?! Kama ndivyo mimi sio mkimbizi ndio maana nikauliza, sasa huo u shit hole wa afrika unatoka wapi?! Isiwe tabu basi ombeni hizo haki kwa amani.
Hahaha usipanic huo ni mtazamo wake. Nawe unaweza mrudishia hilohilo mkawa draw. Hawezi kukuomba msamaha na hatobadirisha kauli yake,sasa hiyo inakufanya uwe shithole?! Mpuuze au nawe mtukane muwe sawa. Trump mwehu unataka kukomaa naye. Mhmm haya kila la kheriNadhani huelewi sorry!! Labda kwa kukusaidia tu Trump ameziita nchi za Africa ni shithole.Maana yake sisi Waafrica ni shitholes.
Ni sahihi kabisa kutokana na aina ya utawala, demokrasia, uhuru wa mawazo, na haki za binadamu uliopo Afrika! Mengi yanayofanywa na watawala wa Afrika yanaifanya Afrika iwe hivyo; acheni kutetea uozo!Utoto huu. Jifunze kufuatilia mambo. Hivi kuitwa Africa countries kuwa ni shithole wewe unaona poa tu?
HahahahaHahaha kwani hizo haki zinatolewa na nani, nani anazo na nani hanazo na anamuomba nani?!
Hahahaha aisee wewe mkuu majibu yako yananifanya nicheke sana!Hahaha usipanic huo ni mtazamo wake. Nawe unaweza mrudishia hilohilo mkawa draw. Hawezi kukuomba msamaha na hatobadirisha kauli yake,sasa hiyo inakufanya uwe shithole?! Mpuuze au nawe mtukane muwe sawa. Trump mwehu unataka kukomaa naye. Mhmm haya kila la kheri
Hahaha kibongo bongo mtu akikutukana na uwezo wa kumpiga huna unamfanyaje?!Hahahaha aisee wewe mkuu majibu yako yananifanya nicheke sana!