Katibu Mkuu wa TLP John Komba afariki

Majasho

JF-Expert Member
Aug 4, 2009
413
220
Habari nilizozipata hivi punde, Katibu Mkuu wa chama cha Tanzania Labour Party John Komba amefariki jana katika hospitali ya taifa ya Muhimbili. Komba alikuwa amelazwa akiwa amepooza mwili upande mmoja.
 
habari nilizozipata hivi punde, katibu mkuu wa chama cha tanzania labour party john komba amefariki jana katika hospitali ya taifa ya muhimbili. Komba alikuwa amelazwa akiwa amepooza mwili upande mmoja.
rip
 
Natoa pole kwa wafiwa, familia na ndugu wote pamoja na chama cha TLP kwa kumpoteza Bw. Komba, Mungu ailaze roho yake pema peponi. Amin.
 
Poleni sana wafiwa kwa msiba huo mzito, pole sana mwenyekiti Mrema huko ulipo India kwenye matibabu!
 
Tangulia John Komba, nenda Komba, msalimie IMRAN KOMBE, salimie wapiganaji wote, heri Mungu wa mbinguni kakuepusha na fadhaa ya karne , inayonyemelea chama chako cha TLP kupitia A.L. Mrema. amewasaliti Watanzania wenzake, manamageuzi, wapinaji, na wale wote waliomwamini tangu ajiunge na kundi la watetezi wa mali ya UMMA miaka ya 90.
kapumzike Komba, salimia wote huko peponi kama utaionja.
Pumzika kwa amani milele yote.
ndimi Nguvumali.
 
Natoa pole kwa mwenyekiti wa TLP Bwana A L Mrema,wanachama,wapenzi wa TLP na ndugu wa Marehemu John Komba.
 
Pole kwa Familia ya Mh. Komba, wanandugu wote, wanachama na watendaji wa TLP kwa ujumla. Mungu amlaze mahala pema peponi. Amina
 
mimi hii ndio mara yangu ya kwanza kujiunga kwenye jamii forum,hivyo naomba mnipokee na tuendelee kupashana habari. asanteni sana
 
Back
Top Bottom