Tetesi: Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi kung'olewa

Status
Not open for further replies.

Dr Shekilango

Senior Member
Dec 30, 2013
192
117
Hali ya mambo ndani ya NCCR-Mageuzi imemgeukia Katibu Mkuu wa chama hicho Martha Chiomba, baada ya Jumuiya ya Vijana na baadhi ya Vigogo wa chama hicho kuaziamia kumg'oa.

Taarifa za hivi punde ni kwamba tayari hoja ya kumg'oa imewasilishwa katika viunga vya Ilala Makao Makuu ya NCCR-Mageuzi.

=====

KANUSHO; 15 FEB 2022

=======

MODERATOR: Edward Sembeye, Mkuu wa Idara ya Uenezi na Mahusiano ya Umma wa NCCR Mageuzi amekanusha habari hizi.

Amedai ndani ya chama hakuna mgogoro wowote na Katibu Mkuu yupo Ofisini anafanya kazi na anashirikiana na Jumuiya zote za Vijana Wazee na Wanawake. Amedai ni mara ya kwanza kusikia malalamiko haya.
 
Chama Kiko shwali hizo habari hazina ukweli wowote. NCCR tuko pamoja Kama jeshi la ukombozi kuwakomboa watanzania 2024/2025
 
Hali ya mambo ndani ya NCCR-Mageuzi imemgeukia Katibu Mkuu wa chama hicho Martha Chiomba, baada ya Jumuiya ya Vijana na baadhi ya Vigogo wa chama hicho kuaziamia kumg'oa.

Taarifa za hivi punde ni kwamba tayari hoja ya kumg'oa imewasilishwa katika viunga vya Ilala Makao Makuu ya NCCR-Mageuzi.
Hilo ni tawi la CCM kama matawi mengine
 
Hali ya mambo ndani ya NCCR-Mageuzi imemgeukia Katibu Mkuu wa chama hicho Martha Chiomba, baada ya Jumuiya ya Vijana na baadhi ya Vigogo wa chama hicho kuaziamia kumg'oa.

Taarifa za hivi punde ni kwamba tayari hoja ya kumg'oa imewasilishwa katika viunga vya Ilala Makao Makuu ya NCCR-Mageuzi.
NCCR ina wanachama wangapi nchi nzima? wanafika 45?
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom