Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,204
- 4,692
Semina hiyo Muhimu ilifanyika katika Ukumbi wa White House Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Viongozi wa Jumuiya za Chama za UWT, UVCCM na Jumuiya ya Wazazi
Kamarada Bashiru Ally pia aliwakabidhi Wenyeviti Wa Kamati hizo Hotuba ya Rais Dkt John Magufuli aliyoitoa wakati akifungua Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na nakala ya ya Ilani ya CCM 2020 - 2025 kwa ajili ya Ufuatiliaji na Utekelezaji.