Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu atazungumza na waandishi wa habari

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
608
1,540
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Leo tarehe 16 Agosti 2020, Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu atazungumza na waandishi wa habari.

Mada: Maamuzi ya Kamati Kuu ya ACT Wazalendo Kuhusu Uteuzi wa Wabunge na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi.

Muda: Saa 6.00 Mchana.

Eneo: Ofisi ya Chama Magomeni, Dar es salaam.

Imetolewa na:

Janeth Joel Rithe, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mawasiliano na Umma.

16 Agosti 2020.
IMG-20200816-WA0002.jpg
 
Ndio kipindi chenu hiki mjitahidi kabla hamjaingia karantini tena mpaka miezi kama hii 2025!
 
Back
Top Bottom