Katibu mkuu wa CHADEMA Mnyika kuongea na waandishi wa habari leo Agosti 10, 2021

Chadema ni kama wamevurugwa vile.

Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika ataongea na waandishi wa habari leo saa 6.00 mchana makao makuu ya chama hicho mtaa wa Ufipa manispaa ya Kinondoni
Kuongea masuala yaliyopo ni kuvurugwa?Basi weye na vihongwe wenzio wa CCM mnaoanzisha nyuzi kila sekunde kabla hata hamjatengeneza madela yenu viunoni mnapaswa mpewe jina jipya.
 
Safi sana Katibu Mkuu kwa kuwa pro-active, tunataka watanzania wapate ufafanuzi wa kina baada ya mahojiano ya sintofahamu ya mahojiano ya jana ya Rais na BBC ambayo yameiacha dunia nzima ilikuwa na maswali mengi kuliko majibu.

Tunataka Dunia ipate majibu sahihi ya hili sakata la UGAIDI wa Mh. Mbowe.
 
Back
Top Bottom