Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika atema cheche kuhusu kauli ya Mwenyekiti wa CCM ya uchaguzi kuwa huru na haki

Tanzania aisee kuna vipaji sana kuna siku niliwai waza kwamba kwanini vyama vya siasa visibadilishe katiba zao yaani chama kimoja kikichukua dora bahada ya uchaguzi teuzi mbalimbali kama za mawaziri zisiangalie mtu anatoka chama gani bali uwezo binafsi nafikili nchi inaweza piga hatua sana
Bongo hapa upinzani ni kama vita hata ukiwa na jambo zuri kiasi gani husikilizwi
 
Upo sahihi ndugu.Lakini kwa wenzetu mshindi huchukua vyote.
Tanzania aisee kuna vipaji sana kuna siku niliwai waza kwamba kwanini vyama vya siasa visibadilishe katiba zao yaani chama kimoja kikichukua dora bahada ya uchaguzi teuzi mbalimbali kama za mawaziri zisiangalie mtu anatoka chama gani bali uwezo binafsi nafikili nchi inaweza piga hatua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania aisee kuna vipaji sana kuna siku niliwai waza kwamba kwanini vyama vya siasa visibadilishe katiba zao yaani chama kimoja kikichukua dora bahada ya uchaguzi teuzi mbalimbali kama za mawaziri zisiangalie mtu anatoka chama gani bali uwezo binafsi nafikili nchi inaweza piga hatua sana
Moja ya tabia ya mwehu Ni kusahau, mawaziri kivuli wote Ni cdm, cuf walipendekeza watoke katika vyama vyote vyenye uwakilishi bungeni mkagoma,

Ccm imewateua watendaji kutoka upinzani akina mama ngwira, mwita waitara, mtatiro, Prof mkumbo mkasema wamenunuliwa, Leo unashauri kilekile mlichokataa sio wehu huo?
 
Mkuu pungunza jaziba sio kila alie hum ni mwanaccm au mwana chadema wapo ambao hawana vyama moja ni mimi hapa kama nchi tunachelewa sana na ushabiki usiokua na maana leo kama nchi tunalia na ufisadi hapa dawa ni moja tu kwanza nikubadilisha katiba ya vyama vyenu sambamba na kua na katiba mpya kwamba kama chama flani kimekua madarakani basi uteuzi usiangalie mfia chama bali uwezo binafsi na hapo utaona kama ufisadi utaendelea binafsi naamini kila chama lengo kuu ni kuwatumikia wananchi sasa mfano kama uchaguzi umeisha kwa nini vichwa vizuri visichukuliwe ili kuunda tim nzuri kwa masirai mapana ya nchi .
 
Mh. John Mnyika ni kati ya vijana wachache wenye kupawa cha ajabu....wazalendo wa kweli..matunda ya CDM kuwekeza kwenye vijana wazalendo miaka ya 2000.

CDM sasa imerudi kwenye misingi yake baada ya wavamizi kutoka nduki.
 
Back
Top Bottom