Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika atema cheche kuhusu kauli ya Mwenyekiti wa CCM ya uchaguzi kuwa huru na haki

Hapa ndio utaelewa kwanini Mh Mbowe ameamua John Mnyika awe Katibu Mkuu wa Chadema , yaani anatema madini matupu !

angalia mwenyewe video hii hapa
Huwezi kwenda ikulu kwa kusubiri Rais wa nchi aongee ,maana yake akinyamaza mnakua kimya
 
Yaani Mheshimiwa Mbowe ndio aliamua John Mnyika awe katibu mkuu ....


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi unategemea kweli yule yule aliyeharibu uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana, Leo hii "aokoke na kutubu" na kuahidi kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakuwa huru na haki?

I doubt so much on that assurance
Na wakati huo huo anaendelea kujisifu kuhusu uchaguzi huo ulivyofana; halafu bado wapo watu wanaweka matumaini kuwepo uchaguzi huru, wa haki na wa wazi!

Maajabu makubwa sana haya.
 
Mabeberu tayari walishamtwanga barua kali sana ! uzi uko humu humu jf
Eeenh. Tegemeo pekee ni wananchi wa Tanzania rafiki yangu Erythro.

Kila siku nakukumbusha hili ili ufikishe ujumbe ndani ya chama chenu, lakini hutaki kunielewa na muda ndio hivyo unayoyoma.
 
kama hukuelewa kilichoandikwa hatuna namna ya kukuokoa

Kama unashindwa kuwasilisha jambo dogo namna hii na mbaya zaidi unashindwa hata kusimama peke yako kutetea ulichoandika na kuweka uwingi katika utetezi wako hakuna namna unaweza jenga hoja bila kushambulia mtu.
Nukuu za maandishi yako zinaonyesha Mh Mbowe ndio alimchagua Mnyika!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wasalaam, naomba tuweke pembeni itikadi zetu za kisiasa japo kwa muda tu wote tusikilize maneno haya kwa makini kwa faida ya Watanganyika waliopo na watakao kuwepo.
 

Attachments

  • 2283798_John_mnyika_katibu_mkuu_wa_Chadema_atema_cheche...._Share_zaidi_ziwafikie__Source_.mp4
    8.8 MB
Wasalaam, naomba tuweke pembeni itikadi zetu za kisiasa japo kwa muda tu wote tusikilize maneno haya kwa makini kwa faida ya Watanganyika waliopo na watakao kuwepo.
Huyu kijana bado sana ! Haoni rais Trump aliamua kumuua generali Qassim Solemani wa Iran ili asifiwe na wamarekani kua amewaweka salama zaidi waache kufikiria impeachment proceedings dhidi yake ? Siasa ni mchezo wa tactics na technics kama football 🙂 ! One mistake one goaaaal !!!@
 
Back
Top Bottom