Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika atema cheche kuhusu kauli ya Mwenyekiti wa CCM ya uchaguzi kuwa huru na haki

Upo sahihi kabisa labda iwe kama nyuma ya pazia kawekewa shinikizo na mabeberu kuhakikisha harudii huo ujinga
Hivi unategemea kweli yule yule aliyeharibu uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana, Leo hii "aokoke na kutubu" na kuahidi kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakuwa huru na haki?

I doubt so much on that assurance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viva Mnyika, ni muujiza kupata tume huru ya uchaguzi kwa muda ulivyo na mfumo hodhi Raisi.Ni kosa na CDM na Watanzania kutokudai mapema kwa mikakati dhabiti. Japo ccm hawana jipya,wanataraji kubebwa kubebwa kupita bila kupingwa.Polepole anapongezwa kwa kusimamia biashara ya wanasiasa Arusha na kwingineko,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viva Mnyika, ni muujiza kupata tume huru ya uchaguzi kwa muda ulivyo na mfumo hodhi Raisi.Ni kosa na CDM na Watanzania kutokudai mapema kwa mikakati dhabiti. Japo ccm hawana jipya,wanataraji kubebwa kubebwa kupita bila kupingwa.Polepole anapongezwa kwabkusimamia biashara ya wanasiasa Arusha na kwingineko,

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna lisilowezekana chini ya jua
 
Hapa ndio utaelewa kwanini Mh Mbowe ameamua John Mnyika awe Katibu Mkuu wa Chadema , yaani anatema madini matupu !

angalia mwenyewe video hii hapa
Eti anatema madini!! Labda kwa wanasaccos ya Chadema! Sisi tuko busy na kusainiwa mkataba wa kihistoria wakati wasaliti wanaugulia stress huko Ubelgiji. Hakuna cha MIGA wala nini!! Accacia wamefutika duniani!! Chezea Magu wewe!!
 
Mimi naomba kuuliza swali moja kwako mleta maada kwahiyo mbowe ndo alimua mnyika awe katibu mkuu wala siyo wanachama?

Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba ya Chadema inampa mamlaka Mwenyekiti kuteua jina la Katibu Mkuu na kulileta mbele ya Mkutano mkuu kwa ajili ya kuthibitishwa ama la .

Kwahiyo kumbe Katibu Mkuu linakuwa Chaguo la Mwenyekiti kwanza , iko hivyo na haifutiki .
 
Eti anatema madini!! Labda kwa wanasaccos ya Chadema! Sisi tuko busy na kusainiwa mkataba wa kihistoria wakati wasaliti wanaugulia stress huko Ubelgiji. Hakuna cha MIGA wala nini!! Accacia wamefutika duniani!! Chezea Magu wewe!!
ile 300 iko wapi ? mnapigwa halafu mnakenua !
 
Viva Mnyika, ni muujiza kupata tume huru ya uchaguzi kwa muda ulivyo na mfumo hodhi Raisi.Ni kosa na CDM na Watanzania kutokudai mapema kwa mikakati dhabiti. Japo ccm hawana jipya,wanataraji kubebwa kubebwa kupita bila kupingwa.Polepole anapongezwa kwa kusimamia biashara ya wanasiasa Arusha na kwingineko,

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu bado inawezekana sana, maana ingedaiwa mapema ingepigww propaganda kuwa wapinzania wanafanya siasa za madaraka tu. Niliwahi kupendekeza wapinzani wapeleke hoja binafsi bunge hili wala wasingoje mpaka serikali ipeleke hiyo hoja binafsi kwa hati ya dharura. Ikikubaliwa ijadiliwe kwa usahihi huko bungeni, ila ikikataliwa ije idaiwe nje kwa njia mbalimbali. Ipigwe kelele mpaka huo uchaguzi ionekane ni batili bila hiyo tune huru ya uchaguzi. Nawashauri wapinzani waanze kutumia vyombo vya habari kudai hiyo tume huru, na huku mitandaoni tutapiga debe la nguvu. Hayo yafanyike sasa kwa nguvu kubwa. Joto likipandishwa vizuri lazima lazima mabadiliko ya msingi yatafanyika.
 
Hapa ndio utaelewa kwanini Mh Mbowe ameamua John Mnyika awe Katibu Mkuu wa Chadema , yaani anatema madini matupu !

angalia mwenyewe video hii hapa
Kwenda zako wewe ! John mnyika ? Hana lolote zaidi ya kurudia rudia misemo. Too 'young' for that position! Anyway hayo yenu.
 
Katiba ya Chadema inampa mamlaka Mwenyekiti kuteua jina la Katibu Mkuu na kulileta mbele ya Mkutano mkuu kwa ajili ya kuthibitishwa ama la .

Kwahiyo kumbe Katibu Mkuu linakuwa Chaguo la Mwenyekiti kwanza , iko hivyo na haifutiki .
Huon kama huo ni udikteta mkubwa sana mwenyekiti kuja na jina lake mfukoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom