Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amtembelea Mama mzazi wa Hayati Alphonce Mawazo kijijini kwake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,574
217,938
Helena Yegera ambaye ni mama Mzazi wa Hayati Alphonce Mawazo , mtu aliyeuawa kinyama pengine kuliko binadamu yeyote nchini Tanzania , leo amepokea ujumbe mzito kutoka Chadema Makao Makuu ulioongozwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika .

Twaha__Mwaipaya_on_Instagram:_“Katibu_Mkuu_wa_chadema_Mh._John_MNYIKA_akifanya_mazungumzo_na_m...jpg


Baadaye Msafara huo ukatembelea Kaburi la Kamanda Mawazo ambako kulifanyika dua ya kumuombea Hayati huyo .

No_hate_No_fear_on_Instagram:_“Katibu_Mkuu_⁦Mh._John_Mnyika_na__Bi_Helena_Yegera_(_Mama_wa_Mar...jpg


Chadema imemhakikishia mama huyo ambaye ni Mkazi wa Kijiji cha Chikobe , Mkoani Geita kwamba INATAMBUA MCHANGO MKUBWA WA ALPHONCE MAWAZO KATIKA KUPIGANIA HAKI .

NO HATE NO FEAR .
 
Back
Top Bottom