NYUSO ZA HUZUNI HUWA HAZIJIFICHI...... WELCOME TO THE SINKING SHIP DR CHINJA CHINJA!View attachment 336874
Katibu Mkuu, Dr Vicent Mashinji ameripoti ofisini mapema leo.
View attachment 336875
Watendaji wa Makao Makuu wakimkaribisha rasmi Katibu Mkuu, Dr Vicent Mashinji ofisini kwake leo 12/4/2016
La nini jengo kwa nje wakati ana riport ofisini,we usiye soma majira na nyakatiPiga picha ya jengo kwa nje ili tuone mandhari ya ofisi.
unafikiri kushinda una piga propaganda humu jamvini uta pata hela?JPM anabana matumizi balaa.Utangoja sana kupata cheo.Muulize Lizaboni kama JPM hata anamfahamuZama hizi za hapa kazi tu bado anahangaika na kuning'iniza shanga za maua?
Kweli chama chetu kimepoteza Dira.Ni katibu mkuu msomi kuliko wote duniani anayeishi kwenye jengo baya kuliko yote dunia....Hili sibishi maana ni msomi pale ufipa ukimlinganisha na akina Mbowe,Lema,Sugu,Mnyika,mzee wa hapa na pale (Kubenea) na akina Proj Jay.
We umefanyaje sasa hapa?Yaani siku hizi thread za CDM hazina wachangiaji kabisa!
Pango la mboe, a k a saccosPiga picha ya jengo kwa nje ili tuone mandhari ya ofisi.
Hii ndio ofisi ya makao makuu CHADEMA.Kabla ya kuwa ofisi lilikuwa duka la mangi akiuza unga,maharage chumvi nk.Likiwa na fremu mbili kwenye hayo madirisha.Mabilioni yote ya ruzuku na hela za wazungu na michango ya waswahili ndio wameishia kuwa na ofisi hii tena ya kupanga.Piga picha ya jengo kwa nje ili tuone mandhari ya ofisi.