Pro-Chadema wanafiki sana JK akihudhuria misiba mnaleta kejeli leo kwa Dr.Slaa mnatoa pongezi.
Mbona kwa mbali namwona mtu kama Mwigulu na skafu yake ya kijani?
Tiba
Pro-Chadema wanafiki sana JK akihudhuria misiba mnaleta kejeli leo kwa Dr.Slaa mnatoa pongezi.
Mbona kwa mbali namwona mtu kama Mwigulu na skafu yake ya kijani?
Tiba
uliwahi kumuona Slaa kwenye msiba wa sajuki au kanumba ama mangwea ?
rais wa wanyonge, mtu mwenye hekima mtiifu wa moyo,
homgera dr slaa kwakuonyesha utu wako
Utakufa kwa BP chadema mwendo mdundo....na Zitto outIngekuwa Zitto; Msaliti ; Je huyu
Zamani alikuwa ahudhulii mpaka tulipomsema JF.
JF NI MSHAURI MZURI
Ingekuwa Zitto; Msaliti ; Je huyu
Zamani alikuwa ahudhulii mpaka tulipomsema JF.
JF NI MSHAURI MZURI