Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilbload Slaa, akiweka Shada la maua kABURI LA MTOTO WA MANGULA

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,571
3-3.jpg
 
Ingekuwa Zitto; Msaliti ; Je huyu
Zamani alikuwa ahudhulii mpaka tulipomsema JF.
JF NI MSHAURI MZURI
 
RIP mtoto wa Mangula,aidha nikushukuru Dt W Slaa kwa kushiriki mazishi ya mtoto wa Mangula,tuko pamoja.
 
Mbona kwa mbali namwona mtu kama Mwigulu na skafu yake ya kijani?

Tiba
 
tunashukuru kwa taarifa , japo sina imani na mleta uzi huu , usiniulize kwanini ?
 
uliwahi kumuona Slaa kwenye msiba wa sajuki au kanumba ama mangwea ?

Acha upuuzi wewe kijana, Kwani hao uliwataja hapo sio binadamu? Babu aache unafiki, na uzee wote huo, badala atubu dhambi zake maana yuko kwenye mstari wa mwisho lakini ndio kakazana kupora wake za watu!
 
Slaa anajirekebisha.

Amegundua kuwa watanzania wanathamini utu wa Kikwete kuhudhuria misiba.

Ni dalili nzuri kuwa Slaa ameanza kujifunza uungwana.
 
  • Thanks
Reactions: R.B
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom