Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk. Vincent Mashinji hana commanding power ndani ya chama

Kada wa CHADEMA

JF-Expert Member
Feb 27, 2016
289
615
Hili kimedhihiri jijini Arusha wakati Lowassa akiongea na Mameya wa Majiji, Miji na Halmashauri zinazoongozwa na CHADEMA. Yaani hakika nilistaajabu sana. Eti Edward Mbona polisi hawakumzuia? CHADEMA na BAVICHA yake nafikiri sasa mard Lowasa, Mjumbe wa Kamati Kuu ndiye anakuwa mgeni Rasmi ilhali Mwenyekiti wetu Mbowe yupo. Ijapokuwa Mbowe hakuwepo kwenye kikao hicho, nilimuona Katibu Mkuu wetu Dr Vicent Mashinji akiongea kwa lugha ya upole kabisa kama anafanya doagnosis kwa mgonjwa.

Yaani Katibu kapwaya sana na sijajua mpaka sasa sifa zilizomshawishi Mwenyekiti wangu Mbowe mpaka akapendekeza jina la Katibu Mkuu dhaifu kama huyu. Anaongea taratiiiibu na hata kama mtu anaharibu mbele yake, anamuacha tu anaharibu na hamkemei. Mathalani, wakati Lowassa anatoa tamko kuwa CHADEMA sasa kimegraduate kutoka kikundi cha harakati na kuwa chama cha siasa, Dr Mashinji alikuwa anamuangalia tu na hakuchukua hatua yoyote. Nilimuona alipoa kabisa tena nimemuona akipiga makofi kuonesha kuwa anachosema Lowassa ni sahihi.

Hakika nawaambia. Tukiendelea na huyu jamaa chama chetu kitapotea sana. Nasikia CCM wana mpango wa kumpa Mangula kuwa Katibu Mkuu. Sasa linganisha Mangula na huyu muigizaji wetu wapi na wapi. Lazima tuisome namba. Ni wakati sasa wa kubadilika na kumshinikiza Mbowe abadili gia angani kwa kutengua uteuzi wa Dk Mashinji.
 
Hivi Mashinji anaweza kumpa maelekezo ya kazi mjumbe wa kamati kuu na mwanachama kama laisi wa mioyo yetu au Tundu Lisu?
 
Dah! Aiseeee! Kumbe hata nyie wana CHADEMA mmeliona hili!
Unatia kinyaa sana!! Yaani unaanzisha Uzi kwa ID nyingine then unajijibu mwenyewe?

Mlisema CDM inakufa sasa vipi mbona hamuishi kuisema na kuifwatilia? Akili kama zako ndo zitaleta TZ ya viwanda?
 
Dah! Aiseeee! Kumbe hata nyie wana CHADEMA mmeliona hili!
Mkuu sisi wafuasi wa chadema tukimpinga kiongozi wetu mkuu tunaambiwa wasaliti au tumenunuliwa,lowassa katuambia ukweli tuachana na siasa uanaharakati,tumekuja juu eti katoa kauli kama nani,tumesahau kuwa tulimuuzia chama.
 
Kwanini usianzishe chama chako na wewe ukajichagua kuwa katibu mkuu? Kama alivyo jichagua mwenzio kuwa kiongozi Mkuu wa ACT-Ujiji
 
Wewe ulitaka akaue TEMBO kama nani hii ndio ujue ni katibu Mkuu? Zama zimebadilika ndugu sio kila homa ni Malaria!!

Si mlisema Mbowe dhaifu chadema kitakufa kabla 2015 kumbe bado kipo? Tulieni kamanda wa Anga awanyooshe Lumumba.
 
Back
Top Bottom