Katibu Mkuu wa CHADEMA anapolindwa na walinzi wa Kanisa!

Baada ya kumsiikiliza Gwajima katika hotuba yake hapo jana. Nimeshangazwa na habari aliyozungumza kuwa yeye ndiye aliyeweka walinzi wake kumlimda Dr. Slaa nyumbani kwake.

Kama habari hii inaukweli basi kuna tatizo kubwa sana CHADEMA. CHADEMA ni chama cha siasa ambacho kina watu kutoka imani tofauti. Huyu kiongozi wa kanisa anawezaje kuhurusiwa na chama kumwekea Katibu mkuu walinzi wake?

Tunaambiwa tuna red brigade, sasa kazi yao ni nini kama hawawezi hata kumlinda Katibu Mkuu na badala yake anawekewa walinzi na kiongozi wa dini?.

Huyu mlinzi aliyewekwa na kanisa anaripoti kwa Gwajima au kwenye Chama. Hii habari sio njema na inabidi uongozi wa CHADEMA ujitafakari katika hili.

Yaani hiki chama ni sheedah, ndo maana sioni kama kuna waislamu wengi watakipigia kura! Chadema wamejidhihirisha kabisa ni chama cha kidini

Chadema Chama cha hovyo kuwahi kutokea Tanzania.

Wanafanya mambo hovyo hovyo.

Hivi kanisa lina walinzi? Hivi unajua makubaliano yao yalikuwa ni yapi? Hivi ulijaribu kuwasiliana na CHADEMA na kupata kauli yao kabla hujakurupuka kukimbilia JF kupost hiki kiroja na kupata support ya hawa wenye mawazo mgando kama yako?
 
Dereva wa dr slaa anaitwa juma

You are missing a point here mkuu. Hoja sio dini ya mlinzi wala dereva, Hapana. Mlinzi wa Katibu Mkuu anapowekwa na Gwajima kama kiongozi wa dini, chain of command kwa mlizi inatoka wapi (Gwajima au Chadema)? Leo tunaweza kuambiwa walinzi wa Mwenyekiti amewekewa na Shekhe au Mchungaji fulani tutaendelea kuona ni sawa tu?
 
Gwajima alimpa slaa ulinzi kirafiki tu,hii inahitaji elimu kubwa pia kuifahamu?
 
Kwani mshenga wako akikupa ulinzi kuna ubaya gani? Yaleyale
 
Last edited by a moderator:
Sioni uhusiano wowote kati ya umaskini uliokithiri ulioletwa na CCM na walinzj wa Gwajima, cha kwanza tupa nje CCM kila kitu kitakaa safi
 
Public enemy number one ni CCM, hayo mengine ni mfa maji anapojaribu kukamata majani ili asizame
 
Hivi kanisa lina walinzi? Hivi unajua makubaliano yao yalikuwa ni yapi? Hivi ulijaribu kuwasiliana na CHADEMA na kupata kauli yao kabla hujakurupuka kukimbilia JF kupost hiki kiroja na kupata support ya hawa wenye mawazo mgando kama yako?

Nashukuru kwa kukiri kuwa mawazo mgando pia ni mawazo. Turudi kwenye hoja mkuu.
 
Tezi Dume linatibika Muhimbili............

attachment.php

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...e-marekani-hali-yake-inaendelea-vyema-23.html

You are missing a point here mkuu. Hoja sio dini ya mlinzi wala dereva, Hapana. Mlinzi wa Katibu Mkuu anapowekwa na Gwajima kama kiongozi wa dini, chain of command kwa mlizi inatoka wapi (Gwajima au Chadema)? Leo tunaweza kuambiwa walinzi wa Mwenyekiti amewekewa na Shekhe au Mchungaji fulani tutaendelea kuona ni sawa tu?
 
Kama si upotoshaji wa makusudi basi inawezekana akili za baadhi ya watu humu haziweki kumbukumbu sawasawa au zina matatizo ya kusahau haraka sana.

Askofu Gwajima alisema, "...kwenye nyumba ya Dr. Slaa kuna walinzi wa chama (wanaolipwa na CDM), lakini bado Dr. Slaa alihitaji walinzi waaminifu wanaomjua Mungu kutoka kanisani..." Hivyo kulikuwa na walinzi toka CHADEMA na kutoka Kanisani.

Mimi nadhani baada ya ule mkasa wa yule mlinzi wa CDM aliyetuhumiwa kuvujisha siri za chama kwa TISS, nadhani ilimuogopesha Dr. na kuomba msaada kwa mchungaji wake Askofu JG. Kwa hiyo hakukuwa na ubaya wowote.
 
Sioni tatizo kwani ndio aliowaamini ukitumia walinzi wengine kama kagenzi serikali inawarubuni, alafu inafuatana na usiri wa wawili hao walinzi ni walokole waliumia sana babayo slaa kudhalilishwa na jose kutupiwa virago nje, kagenzi aliwekwa na chama mkayaona mambo ya ccm.
 
Seriously, hata Mimi naweza kuleta mlinzi kumlinda Katibu Mkuu au Mwenyekiti ni nikaruhusiwa!! mangatara
Huo ulikuwa mchango wake katika kuimarisha chama, badala ya kuchangia fedha akaona achangie ulinzi wa kiongozi, then pesa ambayo ingetumika kuwapia ifanye kazi nyingine, Kwani mbona yule Kada wa chama kingine aliwahi kuchimba visima katika majimbo ya CDM ?
 
Hivi wale walinzi wa JK aliokuwa amepewa na Sheikh Yahaya walikuwa wanaripoti kwa nani? Usalama wa taifa,Polisi au kwa sheikh directly?
 
Sidhani kama umewahi kuwaona hao walinzi unaowasema.
 
Baada ya kumsiikiliza Gwajima katika hotuba yake hapo jana. Nimeshangazwa na habari aliyozungumza kuwa yeye ndiye aliyeweka walinzi wake kumlimda Dr. Slaa nyumbani kwake.

Kama habari hii inaukweli basi kuna tatizo kubwa sana CHADEMA. CHADEMA ni chama cha siasa ambacho kina watu kutoka imani tofauti. Huyu kiongozi wa kanisa anawezaje kuhurusiwa na chama kumwekea Katibu mkuu walinzi wake?

Tunaambiwa tuna red brigade, sasa kazi yao ni nini kama hawawezi hata kumlinda Katibu Mkuu na badala yake anawekewa walinzi na kiongozi wa dini?.

Huyu mlinzi aliyewekwa na kanisa anaripoti kwa Gwajima au kwenye Chama. Hii habari sio njema na inabidi uongozi wa CHADEMA ujitafakari katika hili.

Wewe Yaleyale acha mahaba na kuuliza maswali kama hamnazo ! MBONA HAUJAULIZA KWA NINI DK.SLAA ANALINDWA ASKARI WA SERIKALI YETU BAADA YA KUKIMBIA CHADEMA ?
 
Last edited by a moderator:
Nani kakuambia wale walinzi walikuwa wanalinda chama ama ofisi za chama?
 
Pole saana tu. Huoni kuwa unakoelekea siko?? Unataka kuleta hoja yako mfu hapa?? Tatizo ni kwamba, hata weye ungeweza tu kujitolea kuweka walinzi. Weye kama mtu binafsi, hivyo Gwajima, kwa mapenzi yake aliwaweka hao walinzi. Aliyetakiwa kuwakataa ni huyo anaye lindwa

Gwajima anamiliki kampuni ya ulinzi?
 
Baada ya kumsiikiliza Gwajima katika hotuba yake hapo jana. Nimeshangazwa na habari aliyozungumza kuwa yeye ndiye aliyeweka walinzi wake kumlimda Dr. Slaa nyumbani kwake.

Kama habari hii inaukweli basi kuna tatizo kubwa sana CHADEMA. CHADEMA ni chama cha siasa ambacho kina watu kutoka imani tofauti. Huyu kiongozi wa kanisa anawezaje kuhurusiwa na chama kumwekea Katibu mkuu walinzi wake?

Tunaambiwa tuna red brigade, sasa kazi yao ni nini kama hawawezi hata kumlinda Katibu Mkuu na badala yake anawekewa walinzi na kiongozi wa dini?.

Huyu mlinzi aliyewekwa na kanisa anaripoti kwa Gwajima au kwenye Chama. Hii habari sio njema na inabidi uongozi wa CHADEMA ujitafakari katika hili.

Uongozi wa Chadema haujawahi kujitafakari katika lolote....angalia walichofanya baada ya Gwajima kuwasaidia ameenda kuwa-damage zaidi, na story zake za Dr kulala ndani ya gari na Meseji za kutunga walizokosea tarehe.

CHADEMA wana OMBWE la Uongozi...
 
Back
Top Bottom