Katibu Mkuu wa Chadema Akikagua kiwanja kutakapojengwa ofisi ya chama kata ya Usimbe, Tabora

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Vincent Mashinji akikagua ujenzi wa jengo la ofisi ya CHADEMA Kata ya Usimba Wilaya ya Kalihua Mkoani Tabora, ikiwa ni ziara ya ukaguzi wa uhai wa chama Kanda ya Magharibi.
 
Attachments

  • IMG-20161212-WA0054.jpg
    IMG-20161212-WA0054.jpg
    92.2 KB · Views: 65
anakagua jengo kata wakati makao makuu wanapangisha ofisi labda useme alikuwa anajifunza wakati kata hazina ruzuku zinaweza kujenga jengo ila chama kina ruzuku bado kinapanga
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Vincent Mashinji akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi ya CHADEMA Wilaya ya Kalihua akiwa kwenye ziara ya kitaifa ya ukaguzi wa uhai wa Chama Kanda ya Magharibi kwa kukutana na Viongozi wa chama kuanzia ngazi ya vitongoji pamoja na kuwashirikisha viongozi wa Kiserikali wanaotokana na CHADEMA.
 
Attachments

  • IMG-20161212-WA0055.jpg
    IMG-20161212-WA0055.jpg
    52.5 KB · Views: 45
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Vincent Mashinji akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi ya CHADEMA Wilaya ya Kalihua akiwa kwenye ziara ya kitaifa ya ukaguzi wa uhai wa Chama Kanda ya Magharibi kwa kukutana na Viongozi wa chama kuanzia ngazi ya vitongoji pamoja na kuwashirikisha viongozi wa Kiserikali wanaotokana na CHADEMA.
HIVI YUPO?!MAANA MZIMU WA DR SLAA UNAMTESA SANA JAMAN
 
Unaishi wapi wewe? Bado mzimu wa Slaa unakusumbua? Huku mjini tulishamsahau na Dr Mashinji ana piga kazi kama kawaida na mwendo wake unaitwa Slow but sure!
 
Ben Saanane yuwapi , huyo bwana ana sign vitabu kwenye ziara yake ya uhai wa chama, mbona hashughulikii uhai wa wanachama. Chama kitueleza yuko wapi mwanachama wake mashuhuri Ben Saanane.

Chairman yuko Ulaya akisambaza uzushi, nae yuko mikoani hali moja ya nguzo za chama haijulikani alipo.
Jee hizi ni siasa za aina gani?
 
Hakuna kiongozi wa kiserikali anayetokana na chama. Sijui kama unajua kuwa huo ni udanganyifu kwa wenzako?????????????
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Vincent Mashinji akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi ya CHADEMA Wilaya ya Kalihua akiwa kwenye ziara ya kitaifa ya ukaguzi wa uhai wa Chama Kanda ya Magharibi kwa kukutana na Viongozi wa chama kuanzia ngazi ya vitongoji pamoja na kuwashirikisha viongozi wa Kiserikali wanaotokana na CHADEMA.
 
CHADEMA kumekucha. Mbowe, Mrema na Lissu wako Ulaya kwa wiki mbili. Eddo yupo "anatikisa" Tabora . Dr. Manywele naye yuko Kalihua anaanguka sahihi kwenye kitabu cha wageni. Ben Saanane yupo somewhere anapigania chama. Kupatwa kwa ruzuku indeed!
 
Kumbe mnajua alipo Ben, mbona hamuwaelezi ukweli wazazi wake mpaka wanaenda fungua jalada, la mwanawao kupotea. Jee hivyo kukucha kwa chadema au ndio kuingia Gizani?
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Vincent Mashinji akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi ya CHADEMA Wilaya ya Kalihua akiwa kwenye ziara ya kitaifa ya ukaguzi wa uhai wa Chama Kanda ya Magharibi kwa kukutana na Viongozi wa chama kuanzia ngazi ya vitongoji pamoja na kuwashirikisha viongozi wa Kiserikali wanaotokana na CHADEMA.
Ndio nani huyo??
 
Back
Top Bottom