Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Mkuu anakagua Kiwanja au ujenzi hebu naomba urudie tenaKatibu Mkuu wa CHADEMA Dr Vincent Mashinji akikagua ujenzi wa jengo la ofisi ya CHADEMA Kata ya Usimba Wilaya ya Kalihua Mkoani Tabora, ikiwa ni ziara ya ukaguzi wa uhai wa chama Kanda ya Magharibi.
KiwanjaMkuu anakagua Kiwanja au ujenzi hebu naomba urudie tena
HIVI YUPO?!MAANA MZIMU WA DR SLAA UNAMTESA SANA JAMANKatibu Mkuu wa CHADEMA Dr Vincent Mashinji akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi ya CHADEMA Wilaya ya Kalihua akiwa kwenye ziara ya kitaifa ya ukaguzi wa uhai wa Chama Kanda ya Magharibi kwa kukutana na Viongozi wa chama kuanzia ngazi ya vitongoji pamoja na kuwashirikisha viongozi wa Kiserikali wanaotokana na CHADEMA.
Unaishi wapi wewe? Bado mzimu wa Slaa unakusumbua? Huku mjini tulishamsahau na Dr Mashinji ana piga kazi kama kawaida na mwendo wake unaitwa Slow but sure!HIVI YUPO?!MAANA MZIMU WA DR SLAA UNAMTESA SANA JAMAN
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Vincent Mashinji akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi ya CHADEMA Wilaya ya Kalihua akiwa kwenye ziara ya kitaifa ya ukaguzi wa uhai wa Chama Kanda ya Magharibi kwa kukutana na Viongozi wa chama kuanzia ngazi ya vitongoji pamoja na kuwashirikisha viongozi wa Kiserikali wanaotokana na CHADEMA.
Kumbe mnajua alipo Ben, mbona hamuwaelezi ukweli wazazi wake mpaka wanaenda fungua jalada, la mwanawao kupotea. Jee hivyo kukucha kwa chadema au ndio kuingia Gizani?CHADEMA kumekucha. Mbowe, Mrema na Lissu wako Ulaya kwa wiki mbili. Eddo yupo "anatikisa" Tabora . Dr. Manywele naye yuko Kalihua anaanguka sahihi kwenye kitabu cha wageni. Ben Saanane yupo somewhere anapigania chama. Kupatwa kwa ruzuku indeed!
Ndio nani huyo??Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Vincent Mashinji akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi ya CHADEMA Wilaya ya Kalihua akiwa kwenye ziara ya kitaifa ya ukaguzi wa uhai wa Chama Kanda ya Magharibi kwa kukutana na Viongozi wa chama kuanzia ngazi ya vitongoji pamoja na kuwashirikisha viongozi wa Kiserikali wanaotokana na CHADEMA.