Katibu Mkuu wa CCM Mzee Kinana akutana na Mabalozi!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,785
Katibu Mkuu wa CCM A.Kinana akiwa pamoja na wageni wake ambao ni Mabalozi mbalimbali kama USA, Algeria n.k. ofisini kwake Mt. Lumumba

BN649347.jpg

BN649408.jpg

BN649480.jpg

(Picha kwa hisani ya Blogu ya Michuzi)
 
Sawa tumewaona ila nina swali mleta mada, hilo picha ya mwisho yenye ni godawn la kuhifadhia nini?

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Duh mtoa mada acha ukuda yaani unaandika mambo ya Lumumba ila akili ipo Ufipa Kino.
 
Marekani haina balozi nchini kwa sasa. Inongozwa na charge de affairs so aacha uongo wako!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Katibu Mkuu wa CCM A.Kinana akiwa pamoja na wageni wake ambao ni Mabalozi mbalimbali kama USA, Algeria n.k. ofisini kwake Mt. Lumumba

BN649347.jpg

BN649408.jpg

BN649480.jpg

(Picha kwa hisani ya Blogu ya Michuzi)
 
Mashinji yeye anakwenda kupiga picha kwenye ngazi na corridor zaBunge la ulaya
 
Katibu Mkuu wa CCM A.Kinana akiwa pamoja na wageni wake ambao ni Mabalozi mbalimbali kama USA, Algeria n.k. ofisini kwake Mt. Lumumba

BN649347.jpg

BN649408.jpg

BN649480.jpg

(Picha kwa hisani ya Blogu ya Michuzi)
Mkuu umephotoshop hii ni ofisi ya CHADEMA ccm kweli mnataka kikck. Lol
 
Back
Top Bottom