KATIBU MKUU WA CCM; Mkorofi, Mgomvi, Mpiga kelele msibani, Ajirekebishe!

Hilo kofia ni kama ya Nape alovaa jmosi jangwani au wanavaa kwa zamu????

Picha ya pili: jirani yake ni mamake Zitto kama sikosei, kando yake ni Alfi....
 
IMG_8294.jpg

Huyu mama hapa hakuwa hata na hamu ya kusikiliza maana Domo lote lilikuwa linanuka Gongo ama Konyagi. Kweli MTU MZIMA OVYO.

Mukama a.k.a Jabulani
 
ilivyo kwenye picha ya kwanza, Lipumba kajikuta tu kakaa pale, ila angeweza kuchagua angehama kiti mbali na huyu jamaa aliyekaa kisharishari...the guy is too proud halafu sijui proud kwa lipi. ukijumlisha na pumba alizozisema kwenye msiba, unawaza hivi kila siku huwa anafanya pumba ngapi na zinakigharimu vipi chama chake
 
Tehe tehe tehehhheeeee! Kila nikiingia kuangalia hizi picha na coments za wa JF sina mbavu. Yaani huyu ndio katibu mkuu wa Chama Tawala. Kweli taifa letu limorogwa, na lazima tufe maskini.

Hopeless Nation, Hopeless Tanzania. Hebu jiulize tuna mijitu mingapi imekabidhiwa dhamana kubwa kiasi hiki kama Mukama halafu ni mipuuzi tu.
 
Angalia facial Expression zake, Cheki alivokaa kama anategeshea mtu amkanyage, nikikumbuka na maneno ya uchonganishi aliyozungumza nakiri kabisa huyu jamaa ni mgomvi na ana jazba sana!

Ni wakati sasa ajirekebishe kwani hizi si zama za Chama kushika hatamu!


DSC_9905.jpg


IMG_8294.jpg
hiyo picha ya kwanza alivyokaa utadhani dereva wa trekta.. nashangaa huo ukatibu mkuu aliupataje maana kwa uropokaji wake labda wangemuweka kwenye kitengo chao cha mavuvuzela.
 
Inawezekana kweli, maana hebu cheki hapo juu ya chupa ya maji ..... kavaa kufuli kweli?????????

Tena inawezekana anapenda zile za chapchap maana haweki kufuli ili kurahisisha mambo. Halafu huyu Mukama anapenda sana kutembelea pale Jolly Club - Upanga, sasa napata jibu.
 
Back
Top Bottom