KATIBU MKUU WA CCM; Mkorofi, Mgomvi, Mpiga kelele msibani, Ajirekebishe!

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
Angalia facial Expression zake, Cheki alivokaa kama anategeshea mtu amkanyage, nikikumbuka na maneno ya uchonganishi aliyozungumza nakiri kabisa huyu jamaa ni mgomvi na ana jazba sana!

Ni wakati sasa ajirekebishe kwani hizi si zama za Chama kushika hatamu!

DSC_9905.jpg

IMG_8294.jpg
 
Inawezekana mtu mzima alipitia bar wakati anakuja msibani, msameheni bure tu!
 
Angalia facial Expression zake, Cheki alivokaa kama anategeshea mtu amkanyage, nikikumbuka na maneno ya uchonganishi aliyozungumza nakiri kabisa huyu jamaa ni mgomvi na ana jazba sana!

Ni wakati sasa ajirekebishe kwani hizi si zama za Chama kushika hatamu!

DSC_9905.jpg

IMG_8294.jpg

Kuna ulazima wa kuwa tunatoa kadi za mialiko ya misiba,ili watu kama akina mukama wasizamie.
 
Hivi anaitwa nani jina lake kamili mimi najua moja tu la mukama!! Nauliza hivyo maana kama ni mkristo naamini kauli ya mdau mmoja kuwa jamaa alipita mahali akapata kidogo sababu ni kuwa kavaa kofia wakati ki utamaduni na kiimani wakristo hawavai kofia msibani labda kama ni muislam nitamsamehe bure!
 
Angalia facial Expression zake, Cheki alivokaa kama anategeshea mtu amkanyage, nikikumbuka na maneno ya uchonganishi aliyozungumza nakiri kabisa huyu jamaa ni mgomvi na ana jazba sana!

Ni wakati sasa ajirekebishe kwani hizi si zama za Chama kushika hatamu!

DSC_9905.jpg

IMG_8294.jpg

Huyu Babu uwa avai C..pi au ndio anatuonyesha CCM wababe
 
Angalia facial Expression zake, Cheki alivokaa kama anategeshea mtu amkanyage, nikikumbuka na maneno ya uchonganishi aliyozungumza nakiri kabisa huyu jamaa ni mgomvi na ana jazba sana!

Ni wakati sasa ajirekebishe kwani hizi si zama za Chama kushika hatamu!

DSC_9905.jpg

IMG_8294.jpg

aiii! mtu mwenyewe kumbe ana busha
 
huyu mzee kwa konyagi ni nomaa, anakata mizinga mikubwa minne na bado anasimami wima anaimba kidumu chama
 
Hivi anaitwa nani jina lake kamili mimi najua moja tu la mukama!! Nauliza hivyo maana kama ni mkristo naamini kauli ya mdau mmoja kuwa jamaa alipita mahali akapata kidogo sababu ni kuwa kavaa kofia wakati ki utamaduni na kiimani wakristo hawavai kofia msibani labda kama ni muislam nitamsamehe bure!

Anaitwa Wilson Mukama!
 
Back
Top Bottom