Katibu Mkuu wa CCM Mgeni Rasmi Mafunzo ya Wenyeviti Wa UVCCM wa Mikoa Kesho Juni 19, 2021

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,203
4,677
Wadau wa JF,

Katibu Mkuu wa CCM Mheshimiwa Daniel Chongollo atakuwa mgeni rasmi kwenye mafunzo ya WenyeViti wa Mikoa wa UVCCM.

Mafunzo hayo yatanyika Jumamosi Juni 19, 2021 kwenye Chuo cha Chama kilichopo Ihemi Mkoani Iringa.

FB_IMG_16240397460679420.jpg
 
Taratibu za kuwapeleka vijana ambao si viongozi wa UVCCM lakini ni wanachama wa jumuiya hiyo zipoje?
 
Edit thread yako June 18 ni leo sio kesho kwa mujibu wa heading, halafu kwenye thread ni jumamosi June 29.. wakati June 29 ni jumanne..mnakuwaga na haraka za nini!??... Unawahi kwenda wapi!?
June 29 ni jumanne mkuu!
 
LETE KWA UPYA TAARIFA YAKO.UMEANDIKA KAMA UPO KLABUNI.UMETUCHANGANYA
 
Ndio wanaotawala na ndio chama pekee chenye mipango ya miaka 50 mbele inayokifanya chama hiko kuendelea kushika dola
Achana na vyama vyenye maono ya miaka mitano, na hiyo mitano hufika vimechoooka...!
 
Hiyo hotuba tu jamani sijui itafinyangwaje? Dkt Bashiru saidia basi au ndugu Humphrey Polepole aka Mwendokasi.
 
Back
Top Bottom