• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru kumuagiza RC Morogoro kufuatilia ubadhirifu ujenzi wa kituo cha afya ni sawa kimamlaka?

T

The Sheriff

Senior Member
Joined
Oct 10, 2019
Messages
182
Points
250
T

The Sheriff

Senior Member
Joined Oct 10, 2019
182 250
Hivi juzi pale mkoani Morogoro, wakati Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akiwa ziarani kwa siku tatu kwa ajili kukagua utekelezaji wa ilani ya chama chake, kwenye mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Mikese, ilibainika uwepo wa ujenzi wa jengo jingine la mapokezi linalojengwa kwa fedha za fidia ya SGR kufuatia kubomolewa kwa zahanati ya Mikese kupisha ujenzi wa reli ya mwendokasi, ujenzi ambao haujalingana na thamani ya fedha iliyotolewa.

Dk. Bashiru Ally alimuagiza Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Loata Ole Sanare kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini gharama halisi iliyotumiwa na Kampuni ya Reli ya Mwendokasi (SGR) kwenye ujenzi wa kituo cha afya Mikese kutokana na uwepo wa ubadhirifu wa milioni 300.

Je, Katibu Mkuu wa chama ana mamlaka ya kumtuma, kumwamuru, kumuamrisha RC suala hilo?
 
K

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Messages
1,371
Points
2,000
K

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2019
1,371 2,000
Popote anaposimama RC au DC anasimama kama kamisaa wa chama na kwa nafasi hiyo kiongozi wa chama ana mamlaka ya kumuagiza na maagizo yake yakatekelezwa kama RC.

Katibu mkuu yupo sahihi na mamlaka hayo anayo kufanya hivyo kwa makamisaa wa chama.

Hata ingekuwa Rais sio mwenyekiti, angeagizwa na mwenyekiti angetekeleza.
 
mdudu

mdudu

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Messages
2,070
Points
2,000
mdudu

mdudu

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2014
2,070 2,000

Attachments:

Shoctopus

Shoctopus

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
2,468
Points
2,000
Shoctopus

Shoctopus

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
2,468 2,000
Hivi juzi pale mkoani Morogoro, wakati Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akiwa ziarani kwa siku tatu kwa ajili kukagua utekelezaji wa ilani ya chama chake, kwenye mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Mikese, ilibainika uwepo wa ujenzi wa jengo jingine la mapokezi linalojengwa kwa fedha za fidia ya SGR kufuatia kubomolewa kwa zahanati ya Mikese kupisha ujenzi wa reli ya mwendokasi, ujenzi ambao haujalingana na thamani ya fedha iliyotolewa.

Dk. Bashiru Ally alimuagiza Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Loata Ole Sanare kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini gharama halisi iliyotumiwa na Kampuni ya Reli ya Mwendokasi (SGR) kwenye ujenzi wa kituo cha afya Mikese kutokana na uwepo wa ubadhirifu wa milioni 300.

Je, Katibu Mkuu wa chama ana mamlaka ya kumtuma, kumwamuru, kumuamrisha RC suala hilo?
Hapo hata mm nakubali. TRC ni wapigaji sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Return Of Undertaker

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Messages
4,168
Points
2,000
Return Of Undertaker

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2012
4,168 2,000
Popote anaposimama RC au DC anasimama kama kamisaa wa chama na kwa nafasi hiyo kiongozi wa chama ana mamlaka ya kumuagiza na maagizo yake yakatekelezwa kama RC.

Katibu mkuu yupo sahihi na mamlaka hayo anayo kufanya hivyo kwa makamisaa wa chama.

Hata ingekuwa Rais sio mwenyekiti, angeagizwa na mwenyekiti angetekeleza.
Nasema haya maneno ya jukwaani sio taratibu wala miongozi, mkuu wanmkoa ni serikali sio chama. Kutofuata kwa sheria na katiba na miongozo ya kazi shida yake ni umbwe la uongozi na kauli za kijinga kama hizi.
 
Mbekenga

Mbekenga

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2010
Messages
1,459
Points
2,000
Mbekenga

Mbekenga

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2010
1,459 2,000
Katibu wa chama, RC na DC wote wanapiga debe tu hawana check number kwenye payroll ya Serikali. Mkurugenzi yupo anawachora tu.
 
T

TOMNOTKAT

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Messages
314
Points
500
T

TOMNOTKAT

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2013
314 500
Hivi juzi pale mkoani Morogoro, wakati Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akiwa ziarani kwa siku tatu kwa ajili kukagua utekelezaji wa ilani ya chama chake, kwenye mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Mikese, ilibainika uwepo wa ujenzi wa jengo jingine la mapokezi linalojengwa kwa fedha za fidia ya SGR kufuatia kubomolewa kwa zahanati ya Mikese kupisha ujenzi wa reli ya mwendokasi, ujenzi ambao haujalingana na thamani ya fedha iliyotolewa.

Dk. Bashiru Ally alimuagiza Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Loata Ole Sanare kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini gharama halisi iliyotumiwa na Kampuni ya Reli ya Mwendokasi (SGR) kwenye ujenzi wa kituo cha afya Mikese kutokana na uwepo wa ubadhirifu wa milioni 300.

Je, Katibu Mkuu wa chama ana mamlaka ya kumtuma, kumwamuru, kumuamrisha RC suala hilo?
Wanaotekeleza au kusimamia utekelezaji wa ilani ya chama ni WATENDAJI, bosi wao ni MTENDAJI MKUU WA HICHO CHAMA CHENYE ILANI ambaye ni Bashiru. Kwahiyo anaweza hata waelekeza mawaziri na Majaliwa akiwemo.Ndo maana Majaliwa huwasilisha taarifa ya utendaji wa mawaziri kwenye chama.

Magu atakumbukwa kwa mengi muda wake ukiisha, pamoja na kufundisha watu siasa bila kukusudia. Mwenendo wa utendaji wake umetufuza wengi muundo wa serikali ulivyo a umuhimu wa chama cha siasa na ilani. Wengi wetu tulikuwa hatujatafakari hasa uhusiano wa serikali na chama baada ya uchaguzi. Nguvu ya chama na ilani / usimamizi wa ilani na watendaji umejitokeza hadharani zaidi kipindi hiki.
 
Forum statistics

Threads 1,404,585
Members 531,667
Posts 34,458,222
Top