Wa Tanzania wenzangu tuwe tuna soma kwanza.

Zitto alienda kujitambulisha kama Mwenyekiti mpya wa TCD na aliongozana na Mtendaji Mkuu wa TCD.
 
Chadema haitokufa leo wala kesho kila aliyejaribu kuiuwa chadema alikufa yeye, ( MEKO)
Kukosa uwakilishi Bungeni ndio kifo chenyewe!!uhai wa chama nini?maandamano?mikutano ya ndani???Mbowe kawekwa ndani kimkakati kupisha uchaguzi ujao na kuua harakati zake za kichama!!!
 
Hawa ni mama tofauti lakini baba ni mmoja…wote wanaripoti Msoga!!
 
Ingekuwa hivyo Lissu asingeshambuliwa, Mbowe asingekuwa lupango, Ben Saanane, Azory na Watanzania wengi tu leo hii wangekuwa hai. Siwezi kuwa pamoja na wauaji wanaoichafua nchi ndani na nje ya nchi.

Jamani siasa sio ugomvi wala chuki.
Mwenzako akifanya uadui na chuki wewe mpende.

MaCCM tuwe nawo pamoja na tuwapende wapo baadhi watakao badilika.
 
FJaPM74XwAMGFLE.jpeg


Taarifa zinasema Zitto na CCM wamekubaliana kushrikiana katika siasa zao.

My Take
Unashirikiana nini na CCM kwa maslahi ya nani?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom