View attachment 1929653
Zitto siku ya leo tarehe 8.09.2021 amefanya mazungumzo na ndugu katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa niaba ya CCM.
Mazungumzo hayo yaiyodumu kwa zaidi ya masaa 7 yalijadili vitu vingi ikiwemo ushirikiano baina ya vyama vyao. Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini.
Taarifa zaidi inafuata

Muhimu kumsikia Zitto mwenyewe ambaye amekuwa mhudhuriaji mzuri kwenye kesi ya Mh. Mbowe.

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

Kupalilia mifarakano watafanya kila kitu hata kama ni cha kipumbafu.

Watajwa kwenye uzi huo ni wa kuogopwa kama ukoma!
 
CCM wanatumia hela za walipa kodi, huyo ameshaahidiwa atapatiwa wawakilishi bungeni na baraza la wawakilishi ili kukifanya chama cha pili cha upinzani, wapinzani tuache kulalamika kila siku we need to do something to these b...chs
 
View attachment 1929653
Zitto siku ya leo tarehe 8.09.2021 amefanya mazungumzo na ndugu katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa niaba ya CCM.
Mazungumzo hayo yaiyodumu kwa zaidi ya masaa 7 yalijadili vitu vingi ikiwemo ushirikiano baina ya vyama vyao. Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini.
Taarifa zaidi inafuata
Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini.
 
View attachment 1929653
Zitto siku ya leo tarehe 8.09.2021 amefanya mazungumzo na ndugu katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa niaba ya CCM.
Mazungumzo hayo yaiyodumu kwa zaidi ya masaa 7 yalijadili vitu vingi ikiwemo ushirikiano baina ya vyama vyao. Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini.
Taarifa zaidi inafuata
Awe makini,siyo marafiki wazuri wa kujenga nao ushirikiano.Wanakuwaga vigeu geo hao.
 
Zitto anapongeza kukua kwa demokrasia nchini? Huyu huyu? 🤣🤣🤣 Eeh sawa.
 
View attachment 1929653
Zitto siku ya leo tarehe 8.09.2021 amefanya mazungumzo na ndugu katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa niaba ya CCM.
Mazungumzo hayo yaiyodumu kwa zaidi ya masaa 7 yalijadili vitu vingi ikiwemo ushirikiano baina ya vyama vyao. Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini.
Taarifa zaidi inafuata
Zito mjanja sana anatafuta huruma tangu seif atangulie mbele ya haki ni kama act kwa huku bara haipo kabisa kwa sasa anategemea wafuasi kule zanzibar
 
Mnamuamini kweli aliyeleta hizi habari? Zitto alienda kujitambulisha kama Mwenyekiti mpya wa TCD na aliongozana na Mtendaji Mkuu wa TCD. Hakwenda kama kiongozi wa ACT. Na kwa yeyote mwenye uzoefu hamna kikao cha masaa saba nje ya vikao vya utendaji. Huu ni uongo mtupu wenye lengo la kumchafulia Zitto.

Amandla...
Mkuu heshima kubwa kwako.

JF limegeuka kuwa dampo la kila takataka, hasa hizi za upotoshaji.

Na kwa bahati mbaya zaidi, watu wenye kutumia akili kama ulivyofanya hapa wamekuwa wachache sana, wengi wamebaki kuwa washangiliaji wa Yanga na Simba.

Nakupongeza sana kwa kuliona hili na kulitolea uvivu.
 
View attachment 1929653
Zitto siku ya leo tarehe 8.09.2021 amefanya mazungumzo na ndugu katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa niaba ya CCM.
Mazungumzo hayo yaiyodumu kwa zaidi ya masaa 7 yalijadili vitu vingi ikiwemo ushirikiano baina ya vyama vyao. Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini.
Taarifa zaidi inafuata
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Na hawa wakina mod ni wa mrengo wanchuja sana taarifa za CDM kuliko vyama vingine
 
View attachment 1929653
Zitto siku ya leo tarehe 8.09.2021 amefanya mazungumzo na ndugu katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa niaba ya CCM.
Mazungumzo hayo yaiyodumu kwa zaidi ya masaa 7 yalijadili vitu vingi ikiwemo ushirikiano baina ya vyama vyao. Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini.
Taarifa zaidi inafuata
inawezekana zitto ni mamluki aisee ndo maana alifukuzwa cdm
 
Zitto siku ya leo tarehe 8.09.2021 amefanya mazungumzo na ndugu katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa niaba ya CCM.

Mazungumzo hayo yaiyodumu kwa zaidi ya masaa 7 yalijadili vitu vingi ikiwemo ushirikiano baina ya vyama vyao. Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini.

Taarifa zaidi inafuata

View attachment 1929653
Video kama ipo ili tusikie ulichoandika
 
"Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini"

Huyu huyu alielia juzi kufanyiwa rafu Zanzibar mpaka jamaa wa CCM akajitoa au Zitto mwingine?!

Nina wasiwasi na hiyo nukuu hapo juu, inawezekana mleta mada umeikosea, tazama tena rekodi zako.
Huwezi kukubali wewe pingapinga fc.
 
Back
Top Bottom