Katibu Mkuu wa CCM akutana na Polycarp Kardinali Pengo: Ni kumyamazisha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu Mkuu wa CCM akutana na Polycarp Kardinali Pengo: Ni kumyamazisha?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Jun 13, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo akimkaribisha ofisini kwake Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama jana mjini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine walikuwa na mazungumzo ya faragha. (Picha na Bashir Nkoromo).

  [​IMG]
  Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akisaini kitabu cha wageni Ofisini kwa Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo mjini Dar es Salaam.
   
 2. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  naona wameshitika magamba yanazidi kuwa mengi
  hapo lazima alikwenda kuomba msaada wa upatanisho na dr slaa na kuombea radhi
  ccm kwa kuwatukana mapadri kila siku katumwa na jk pinda alishafanya hii,
  siku hizi jk anaishi mafichoni na nje ya nchi


   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Huyu ni katibu mkuu wa CCM kaenda kwa Askofu wa wakatoliki watu hawaongei inaonekana ni jambo la kawaida, lakini kama atafanya hivi hivi katibu mkuu wa CHADEMA utasikia mpaka shura ya maimamu siku hiyo wataongea, na kutoa matamko.
  Hivi naomba kuuliza je ni lini unafki huu utaisha kwa wanaccm na mashekh uchwara? ( masheikh ubwa, mashehena )?
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Alienda kumwomba radhi Kardinali kwa jinsi Kikwete alivyomdhalilisha kule Mbinga kwa kumjumlisha na wauza madawa ya kulevya, watu wenye hekima na busara inauma Rais anapowasakama Maaskofu kwamba ni wauza unga. Huyu kwa busara zake ameenda tu kumwambia Mhashamu tumvumilie tu maana amechanganyikiwa amalize muda wake tuanze mikakati ya kurejesha nchi katika utaratibu unaoeleweka
   
 5. Chizi Fureshi

  Chizi Fureshi JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,710
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Hizi picha ni kwa hisani ya nani? Anyway JF iko juu bana
   
 6. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Picha hisani ya watu wa marekani
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Alienda kutubu kiaina huyo.
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Kaenda kusisitiza kauli ya JK 'maaskofu ni wauza ndumu/misuba'
   
 9. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Wanageukia tena msaada wa viongozi wa dini kuwasemea kama ambavyo waislamu wamekuwa wakijibu tuhuma za watz dhidi ya serikali yao kwa niaba ya ccm na kikwete na serikali yake................wamewarubuni waislamu muda mrefu sasa maji yapo shingo wanataka kuwapa mgawo wa epa hata maaskofu..............maaskofu semeni hatudanganyiki japo huu ni msemo wa watoto ila utawasaidia"
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  aibu ya udini iliyopandikizwa na ccm kwa CDM sasa ndiyo imefika ukingoni ... watanzania sasa shuhudieni unafiki wa chama hichi tawala

  watanzania tusikubali kugawanywa gawanywa hovyoo kama mafungu ya nyanya sokoni
   
 11. Chizi Fureshi

  Chizi Fureshi JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,710
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Tumeelewana japo una ujeuri flani hivi! Teh teh teh dah! Jf
   
Loading...