Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Marekani ajiuzulu baada ya kugundulika shoga

Ile kitu inayomeza mwenzake inaumuhimu wake sana...

Mungu siyo mjinga kuwakutanisha Adam na Eve...
 
Kiingereza ni tatizo, zaidi ya kuwa kwenye mtandao huo hakuna ushahidi wa jambo jingine baya dhidi yake. Amejiuzulu kutokana na kuwepo tu katika mtandao huo kunaenda kinyume na maadili ya kazi yake.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kuhudhuria baa za mashoga na kukesha baa maalum za mashoga alikua anafanya nini?
 
Hivi yule aliyemlaani fande sele kwani vipi mbona afande hadi leo anakula bhange tu, naye yule bwwabwah ndomana hata laana haijafika
Mpe kinyeo siku moja ndo utamjua kama yeye ni shoga,,, inabidi mjitathmini why kashfa nyingi za uchoko zipo kanisani tena kwa viongozi waandamizi
 
Hili kanisa limekuwa maarufu sana kwa mashoga na kuwabaka watoto wadogo .

Kazi Sana hizi imani za wazungu ndio maana niliachaga
 
Back
Top Bottom