Katibu Mkuu wa ACT–Wazalendo afarijika kuachiwa kwa Askofu Mwamakula

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
609
1,540
Nimefarijika kuona Askofu Mwamakula ameachiwa huru baada ya kukamatwa na kushikiliwa bila sababu ya msingi. Matembezi aliyoyaandaa ya kudai Tume Huru na Katiba Mpya ni haki yake na haki ya kila Mtanzania.

Pichani wadau kutoka Vyama vya Siasa na Asasi za Kiraia tuliokwenda kufuatilia suala lake tukiwa kwenye picha ya pamoja baada ya Askofu Mwamakula kuachiwa kwa dhamana.

Katibu Mkuu wa ACT–Wazalendo.
Ado Shaibu

IMG-20210216-WA0007.jpg
IMG-20210216-WA0006.jpg
 
Ni jambo jema daima kusimama na watu wa haki kuliko kusimama na shetani, hata kama shetani huyo ana maguvu na utajiri wa kiwango gani.

Baba Askofu, waliosimama nawe katika picha ni Wachache lakini kuna mamiioni ya Watanzania tunasimama nawe, kwa sababu umesimama katika haki.
 
CCM Ilidhani Upinzani upo tu Bungeni, Kumbe Mziki Mnene wa wasiokubaliana nao upo huku uraiani. Kuna Umuhimu wa Kukaza boot Kudai Katiba ya Wananchi maana iliyopo inaonyesha Wanzania Wote tu Mali ya CCM kitu ambacho sio sahihi.

Hakuna Kuongezwa Muda mtu amalize Kumi yake aje uraiani kama watangulizi wake. Hii hata Haiitaji Mjadala.
 
Chichiem Ilidhani Upinzani upo tu Bungeni, Kumbe Mziki Mnene upo kwa uraiani..Kuna Umuhimu wa Kukaza boot maana katiba iliyopo inaonyesha Wanzania Wote tu Mali ya CCM kitu ambacho sio sahihi. Hakuna Kuongezwa Muda mtu amalize Kumi yake aje uraiani kama watangulizi wake. Hii hata Haiitaji Mjadala.
Nchi imegeuzwa ni mali binafsi ya dikteta
 
Back
Top Bottom