Katibu Mkuu UVCCM: Ukonga mchagueni Waitara

MASIGA

Senior Member
Aug 29, 2015
130
281
Matukio picha

Katibu Mkuu wa UVCCM Mwl Raymond Stephen Mwangwala pamoja na Baadhi Ya wabunge wakimuombea Kura Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga Ndg. Mwita Mwikabe Waitara katika Viwanja Vya Chanika Magengeni.
IMG-20180909-WA0250.jpg
IMG-20180909-WA0247.jpg
IMG-20180909-WA0249.jpg
IMG-20180909-WA0248.jpg
 
Hakuna cha bandiko la Zitto wala nini, ushindi upo pale pale.
Nimeiona clip ya makongoro akiuza uso wake uliokongoroka na konyagi mwitu akimnanga mstaafu jambo linaloashiria anguko la waitara! Mtawaokota sana walio mikoani kuja mjini kuwaokoa kwenye kibano cha kampeni! Sijui kama unaona jinsi ilivyo ngumu ccm kushinda?
 
Payuka utakavyo lakini ushindi upo pale pale.
 
Back
Top Bottom