Katibu Mkuu UVCCM aendesha harambee ya ujenzi wa shule ya sekondari katika kata ya upinzani

Political Jurist

Senior Member
Sep 6, 2021
120
104
KATIBU MKUU WA UVCCM AENDESHA HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KATIKA KATA YA UPINZANI.

Mh Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake ya awamu ya sita mbali na kuendelea kutoa elimu bure,serikali ya awamu ya sita inaendelea kujenga shule sehemu mbalimbali na kuelendelea kufanya mapinduzi kwenye sekta hii na ndio mana nimeendesha harambee ya ujenzi wa shule ya Sekondari Mkunwa na tumeweza kupata mifuko ya saruji 370,tofali 1800 pamoja mchanga lori 3 pamoja na kata hii kuwa ipo Chini ya upinzani na Hongera sana Diwani kwa kutambua mchango mkubwa wa CCM na kuamini maendeleo yanapatikana CCM pekee.

Serikali ya CCM imeshusha umeme mpaka elfu 27,000/= tuu na nguzo ni bure,Mh.Rais amedhamiria mpaka 2025 kila nyumba iwe inawaka Umeme.

Serikali ya awamu ya sita inaendelea kuleta maendeleo kwenye kila pembe ya Nchi yetu,imeleta hapa kwenye kijiji cha Mkunwa ml.250 kwaajili ya kituo cha Afya pamoja na kwamba kata hii ipo Upinzani.Wabunge kote nchini wamepewa fedha kwaajili ya barabara,vituo vya afya pamoja na maji.Kazi inayofanywa ni kubwa tuendelee kumuombea Rais wetu.

Mwakani kuna Sensa ya watu na makazi,,nawahamasisha wananchi wenzangu wa hapa Mkunwa na kote nchini kujitokeza kwa wingi kuhesabiwa,kwani ni lazima serikali ijue idadi ya watu wake ili ijue inapeleka wapi maendeleo kwa kasi zaidi.

Katibu Mkuu aliwasihi wananchi kuendelea kumuunga mkono Mh. Rais kwani dhamira yake kwa Taifa letu siyo yakutiliwa mashaka

KAZIIENDELEE
MTUMISHIWAWOTE
IMG-20210918-WA0194.jpg
IMG-20210918-WA0202.jpg
 
Acha propaganda za kibaguzi kwa misingi ya kiitikadi, zaidi ya yote hiyo ni danganya toto, kwani mlidhamiria kuufuta unaouita upinzani, baada ya kukwama unakuja naporojo humu.
 
KATIBU MKUU WA UVCCM AENDESHA HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KATIKA KATA YA UPINZANI.

Mh Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake ya awamu ya sita mbali na kuendelea kutoa elimu bure,serikali ya awamu ya sita inaendelea kujenga shule sehemu mbalimbali na kuelendelea kufanya mapinduzi kwenye sekta hii na ndio mana nimeendesha harambee ya ujenzi wa shule ya Sekondari Mkunwa na tumeweza kupata mifuko ya saruji 370,tofali 1800 pamoja mchanga lori 3 pamoja na kata hii kuwa ipo Chini ya upinzani na Hongera sana Diwani kwa kutambua mchango mkubwa wa CCM na kuamini maendeleo yanapatikana CCM pekee.

Serikali ya CCM imeshusha umeme mpaka elfu 27,000/= tuu na nguzo ni bure,Mh.Rais amedhamiria mpaka 2025 kila nyumba iwe inawaka Umeme.

Serikali ya awamu ya sita inaendelea kuleta maendeleo kwenye kila pembe ya Nchi yetu,imeleta hapa kwenye kijiji cha Mkunwa ml.250 kwaajili ya kituo cha Afya pamoja na kwamba kata hii ipo Upinzani.Wabunge kote nchini wamepewa fedha kwaajili ya barabara,vituo vya afya pamoja na maji.Kazi inayofanywa ni kubwa tuendelee kumuombea Rais wetu.

Mwakani kuna Sensa ya watu na makazi,,nawahamasisha wananchi wenzangu wa hapa Mkunwa na kote nchini kujitokeza kwa wingi kuhesabiwa,kwani ni lazima serikali ijue idadi ya watu wake ili ijue inapeleka wapi maendeleo kwa kasi zaidi.

Katibu Mkuu aliwasihi wananchi kuendelea kumuunga mkono Mh. Rais kwani dhamira yake kwa Taifa letu siyo yakutiliwa mashaka

KAZIIENDELEE
MTUMISHIWAWOTEView attachment 1943791View attachment 1943792
Unashindwa kutaja jina na chama cha huyo diwani wa upinzani halafu unataka uaminiwe?

Amandla...
 
Vipi Shule za CCM za Umoja wa Wazazi, zinazoendelea kufa Kila siku, mbona Hizo zimewashinda?
 
Kwahiyo walimu mmewaambia wananchi kua WAJITAFUTIE au muhimu kwenu ni majengo tu?
 
KATIBU MKUU WA UVCCM AENDESHA HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KATIKA KATA YA UPINZANI.

Mh Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake ya awamu ya sita mbali na kuendelea kutoa elimu bure,serikali ya awamu ya sita inaendelea kujenga shule sehemu mbalimbali na kuelendelea kufanya mapinduzi kwenye sekta hii na ndio mana nimeendesha harambee ya ujenzi wa shule ya Sekondari Mkunwa na tumeweza kupata mifuko ya saruji 370,tofali 1800 pamoja mchanga lori 3 pamoja na kata hii kuwa ipo Chini ya upinzani na Hongera sana Diwani kwa kutambua mchango mkubwa wa CCM na kuamini maendeleo yanapatikana CCM pekee.

Serikali ya CCM imeshusha umeme mpaka elfu 27,000/= tuu na nguzo ni bure,Mh.Rais amedhamiria mpaka 2025 kila nyumba iwe inawaka Umeme.

Serikali ya awamu ya sita inaendelea kuleta maendeleo kwenye kila pembe ya Nchi yetu,imeleta hapa kwenye kijiji cha Mkunwa ml.250 kwaajili ya kituo cha Afya pamoja na kwamba kata hii ipo Upinzani.Wabunge kote nchini wamepewa fedha kwaajili ya barabara,vituo vya afya pamoja na maji.Kazi inayofanywa ni kubwa tuendelee kumuombea Rais wetu.

Mwakani kuna Sensa ya watu na makazi,,nawahamasisha wananchi wenzangu wa hapa Mkunwa na kote nchini kujitokeza kwa wingi kuhesabiwa,kwani ni lazima serikali ijue idadi ya watu wake ili ijue inapeleka wapi maendeleo kwa kasi zaidi.

Katibu Mkuu aliwasihi wananchi kuendelea kumuunga mkono Mh. Rais kwani dhamira yake kwa Taifa letu siyo yakutiliwa mashaka

KAZIIENDELEE
MTUMISHIWAWOTEView attachment 1943791View attachment 1943792
Acheni ujinga. Kwamba Ccm mnajua ni nani kawapigia kura? Halafu je kwamba maeneo ya upinzani haya stahili hiduma? Hivi kiapo kina semaje?
 
Mbona jamaa ameenda kufanya siasa kwenye Jimbo ambalo sio lake,Mama si alisema kila moja afanye eneo lake!.
 
KATIBU MKUU WA UVCCM AENDESHA HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KATIKA KATA YA UPINZANI.

Mh Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake ya awamu ya sita mbali na kuendelea kutoa elimu bure,serikali ya awamu ya sita inaendelea kujenga shule sehemu mbalimbali na kuelendelea kufanya mapinduzi kwenye sekta hii na ndio mana nimeendesha harambee ya ujenzi wa shule ya Sekondari Mkunwa na tumeweza kupata mifuko ya saruji 370,tofali 1800 pamoja mchanga lori 3 pamoja na kata hii kuwa ipo Chini ya upinzani na Hongera sana Diwani kwa kutambua mchango mkubwa wa CCM na kuamini maendeleo yanapatikana CCM pekee.

Serikali ya CCM imeshusha umeme mpaka elfu 27,000/= tuu na nguzo ni bure,Mh.Rais amedhamiria mpaka 2025 kila nyumba iwe inawaka Umeme.

Serikali ya awamu ya sita inaendelea kuleta maendeleo kwenye kila pembe ya Nchi yetu,imeleta hapa kwenye kijiji cha Mkunwa ml.250 kwaajili ya kituo cha Afya pamoja na kwamba kata hii ipo Upinzani.Wabunge kote nchini wamepewa fedha kwaajili ya barabara,vituo vya afya pamoja na maji.Kazi inayofanywa ni kubwa tuendelee kumuombea Rais wetu.

Mwakani kuna Sensa ya watu na makazi,,nawahamasisha wananchi wenzangu wa hapa Mkunwa na kote nchini kujitokeza kwa wingi kuhesabiwa,kwani ni lazima serikali ijue idadi ya watu wake ili ijue inapeleka wapi maendeleo kwa kasi zaidi.

Katibu Mkuu aliwasihi wananchi kuendelea kumuunga mkono Mh. Rais kwani dhamira yake kwa Taifa letu siyo yakutiliwa mashaka

KAZIIENDELEE
MTUMISHIWAWOTEView attachment 1943791View attachment 1943792
Ni ujinga uliopitiliza tozo tunazokatwa zinaenda wapi?
 
Mwandishi hiyo kata iko chini ya diwani gani wa upinzani?
Kumbuka ACT, NCCR, TLP, UMD , CUF sio vyama vya upinzani Ila Ni matawi ya CCM.
 
Back
Top Bottom