Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 673
- 859
Ndani ya siku hizi mbili imesemekana eti walimu waliokuwa wanajitolea katika shule mbalimbali za Serikali ndio watapewa kipaumbele kwenye ajira. Hivyo majina ya watu hao yametumwa Tamisemi.
Ukweli halisi ni kwamba walimu waliojitolea kwa mwaka mzima hawafiki hata 1% ya waajiriwa mia sita wa kuziba nafasi hizo.
Kinachoendelea ni undugu, rushwa na udanganyifu. Waratibu elimu na wakuu wa shule wasiokuwa waadilifu wamekuwa wapiga dili.
Tamisemi tumieni mifumo rasmi achaneni na hao wapiga dili.
Ndugu Katibu Mkuu Tamisemi tafuta namna sahihi ya kutatua hiyo changamoto.