Katibu Mkuu TAMISEMI, Mussa Iyombe atoa sababu za wakuu wa wilaya na wakurugenzi kutenguliwa hizi hapa

Kuna clip mtandaoni inamuonesha katibu mkuu TAMISEMI, Eng. Iyombe akiwaasa maDC wapya kufuata sheria, kanuni na taratibu huku wakitenda haki na kuepuka kamat-kamata na tumbua-tumbua.

Huyu mzee kwa awamu hii ndo msema kweli nambari wani.
 
~~>Fadhili Nkulu ilikuwa tunagombania naye mademu hapa Club Chillah Kahama...
 
Mimi huwa nadhani Mawaziri hawaoni au wanakubaliana na upumbavu wa wakuu wa wilaya? Sasa mbona matukio yanajirudiarudia kama yanakemewa gizani?
Wanakemea kwenye Camera..... Camera zikizimwa wanawaambia kazeni uzi......
 
Solution ni rigorous vetting,kuepuka upendeleo na kuchagua watu wenye experience.Vijana watatuangusha sana,tuwaache wapate uzoefu as they rise up in the employment ladder, baadae wakishakuwa mature ndio wakabidhiwe uongozi.In short let's go back to the basics of appointing leaders.
Kweli aisee.
 
See
unaone

unaon

Dah, naona utakuwa na issue ambayo imekukumba wewe. Vetting haijalishi ww ni kijana au mzee, na kama umefi

dah seems ur age has gone. Na hujalata cheo chochote. Vetring haijalishi ww ni kijana au mzee. Vetting ni vigezo. Acha vijana wachape kazi. Walio tufikisha hapa ni hao wenye miaka kadhaa ambao unaamini wanaperfom afu kumbe ndio wanahatibu, ch kuwe na mchanganyiko wa umri.
Sio vijana wote wanaharibu, hata wazee wanaharibu
 
Akifungua kikao hicho, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi, Selemani, Jafo alisema akienda wilayani anakuta mkuu wa wilaya ki vyake, mkurugenzi, mwenyekiti wa halmashauri, mbunge wilaya nzima inafanya kazi kivyake.

"Ukiacha wilaya ambazo nafasi zilizokuwa wazi, hizi zingine zote ukifika uliza utaambiwa kulikuwa na hali gani na maeneo mengi pale utakuta yule aliyeondoka aliyestaafishwa au kuondolewa kuna suala kubwa la uhusiano,"alisema.

Jafo alitaka wakajenge uhusiano na kufanya kazi na kuwatii viongozi wao kwa kuwa maeneo mengine mkuu wa mkoa hataki mkuu wa wilaya aonekane anafanya kazi na analijua hilo.
Haya yote ameyataka Mteule.
Mambo ya aibu KABISA
 
See
unaone

unaon

Dah, naona utakuwa na issue ambayo imekukumba wewe. Vetting haijalishi ww ni kijana au mzee, na kama umefi

dah seems ur age has gone. Na hujalata cheo chochote. Vetring haijalishi ww ni kijana au mzee. Vetting ni vigezo. Acha vijana wachape kazi. Walio tufikisha hapa ni hao wenye miaka kadhaa ambao unaamini wanaperfom afu kumbe ndio wanahatibu, ch kuwe na mchanganyiko wa umri.
Sio vijana wote wanaharibu, hata wazee wanaharibu

We are talking of probabilities here.Vijana kwa sababu ya mihemko,kupenda sifa,kupenda mafanikio ya haraka,kukosa uvumilivu,kupenda fedha za aibu na starehe ni rahisi zaidi kuharibu kuliko watu wa umri mkubwa(age >40 years),ambao wameshapata experience.Najua kwa kuwa nimepitia huko na ninao vijana na naona tabia zao!Sikatai kwamba wapo watu
wazima wajinga,but they are the minority.Na sikatai pia kwamba vijana wazuri wapo.Hata hivyo tunapomteua kijana, rigorous vetting lazima ifanyike, ili kujiridhisha kwamba he/she is good.Tunaamini kwa kawaida kwamba advanced age inaendana na kujiheshimu,ndio maana tunasema uzee ni dawa.Hili liko wazi nadhani halina ubishi.
 
"Kuna sheria zinazomlinda, huyu si mwanasiasa"

Kwamba mwanasiasa atapata tabu sana.
 
We are talking of probabilities here.Vijana kwa sababu ya mihemko,kupenda sifa,kupenda mafanikio ya haraka,kukosa uvumilivu,kupenda fedha za aibu na starehe ni rahisi zaidi kuharibu kuliko watu wa umri mkubwa(age >40 years),ambao wameshapata experience.Najua kwa kuwa nimepitia huko na ninao vijana na naona tabia zao!Sikatai kwamba wapo watu
wazima wajinga,but they are the minority.Na sikatai pia kwamba vijana wazuri wapo.Hata hivyo tunapomteua kijana, rigorous vetting lazima ifanyike, ili kujiridhisha kwamba he/she is good.Tunaamini kwa kawaida kwamba advanced age inaendana na kujiheshimu,ndio maana tunasema uzee ni dawa.Hili liko wazi nadhani halina ubishi.
Hebu twambie kati ya wazee na vijana wapi wanaongoza kwa ufisadi?...we ndo walewale mnaojisifia elimu ya zaman ilikua bora,mara mlipita jkt ..ni wazalendo ...lkn mnasahau nyie wazee mnaojisifia mlipata elimu bora ndo mnaofundisha,ndo watunga sera iliyopelekea elimu ya sasa (mnayodai ni mbovu)...nyie mliopita jkt ndio mlioiondoa?...ndo mnaongoza kwa ufisadi...mnatunga sheria mbovu katiba isiyoeleweka!...kila kitu ni nyie!....hata wateuaji wenyewe ni wazee na wanaexperiencehalafu mnakuja na nonsensepoints...eti experience na busara... mtuache vijana ...nyie ndo mmetufikisha hapa...kiufupi nyie ni WABINAFSI! WAKUBWA!
 
Hebu twambie kati ya wazee na vijana wapi wanaongoza kwa ufisadi?...we ndo walewale mnaojisifia elimu ya zaman ilikua bora,mara mlipita jkt ..ni wazalendo ...lkn mnasahau nyie wazee mnaojisifia mlipata elimu bora ndo mnaofundisha,ndo watunga sera ilipolekea elimu ua sasa (mnayodai ni mbovu)...nyie mliopita jkt ndio mlioiondo?...ndo mnaongoza kwa ufisadi...mnatunga sheria mbovu katiba isiyoeleweka!...kila kitu ni nyie!....halafu mtuache vijana ...nyie ndo mmetufikisha hapa...kiufupi nyie ni wabinafsi wakubwa!
Kwani si kweli kwamba elimu ya zamani ni bora.Anyway,nadhani ninalo ongea linaeleweka,hakuna haja ya kubishana.
 
Back
Top Bottom